Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

You stupidly spitting this crap whilst Samia and her gang are abducting and killing this young generation like flies.
 
Hakamatwi kila mtu,lau ingekuwa hivyo basi wote tungekuwa tumekamatwa,anakamatwa kila mwenye kuvunja amani ya nchi hii

Anakamatwa kila mchochezi wa fujo na vurugu wa nchi hii
Waliotoka wametoa mapesa siyo
 
Mtuvumilie tunaopigania haki. Kama mlikuwa mnapigania amani, mlimtoa mkoloni ili iweje kwa mfano?
Utakufa haki hutoiona. Hata huyo Tundu Lissu wenu hama uwezo wa kukupa haki. Tunemuona ndani ya CHADEMA muda mfupi tu alipokataa kusikiliza wale wa G55
 
Utakufa haki hutoiona. Hata huyo Tundu Lissu wenu hama uwezo wa kukupa haki. Tunemuona ndani ya CHADEMA muda mfupi tu alipokataa kusikiliza wale wa G55
Wale wa G55 alitakiwa kuwasikiliza nini wakati tayari walikuwa na ajenda ya ccm mkononi? Halafu cdm sio ccm ambapo mwenyekiti ndio anaamua atakacho na kinakuwa.

Halafu sio kwamba hamtaki kutenda haki, bali mnajua mkikubali kutenda haki ndio mwisho wenu. Hapa unajifanya kuhalalisha uhuni, maana unajua ndio salama ya ccm. Kama unajua hakuna haki, ulikuwa unajiliza nini wakati wa dhalimu Magufuli?
 
Unajaribu kuwauzia uoga wanao kerwa na udhalimu?
 
Kijana kabla ya kuandamana waza mambo yafuatayo

Una familia yako
unaweza kuuliwa
unaweza kupewa ulemavu
Unaweza kupewa kesi ya ugaidi na ukafungwa kifungo cha maisha jela au kunyongwa

VUMILIA KUWA NA SUBRA HAKUNA KIONGOZI ANAKAA MADARAKANI MILELE , IKIWA HAUMPENDI KIONGOZI SUBIRI MUDA WAKE UTAFIKA ATATOKA NA SIO KUTUMIA MAANDAMANO AMBAYO NIMEKUWEKEA MADHARA YAKE


KWA PAMOJA TUNASEMA VIJANA TULINDE UHAI WETU NA TUKATAE VURUGU KWAKUWA HAKUNA MTU WA KUULINDA UHAI WETU ZAIDI YETU
 
Kijana ambaye hataelewa haya na kuingia kwenye matatizo hana wa kumlaumu isipokuwa nafsi yake mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ