Mnajua kwanini kamata kamata imeongezeka Kitaani?

Subirini mtujua nanyi mlijitupa kwenye sero za ICC/ICJ mlipo hamua kuuwa ndugu zenu mfano wa mbwa koko (stray dogs).


NI MJINGA PEKEE ANAYEWEZA KUAMINI KUWA, KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAR 25th DEC
NA HII INADHIBITISHA TUNA BAADHI YA VIJANA WAPUMBAVU KABISA PENGINE KWA SABABU YA HII ELIMU YETU YA KUKARIRI TULIYO LETEWA NA WAKOLONI.
YAANI MTU MWENYE AKILI NA ALIYEKAA DARASANI PENGINE MIAKA 12, ANAFIKIRI AKIJIFICHA NYUMA YA KEY BOARD AKAANDIKA KUTAKUWA NA MAANDAMANO TAYARI YATAKUWEPO???
 
Tatizo siyo elimu iliyo letwa na mkoloni.
Tatizo elimu inayo tolewa na serikali ya CCM.
Tatizo waalimu wa vodafasta wa awamu ya JK na muendelezo wa shule za hovyo za kata. Hao waalimu athari zake tunaziona sasa kwenye jamii. Wenyewe ni inferior product na wanazalisha inferior product.
Hizo shule hawafundishi na serikali haizisimamii vizuri.
Elimu bure ya JPM nayo imeongeza tatizo kiasi kikubwa sana.
Usimamizi mbovu wa SSH umekuja kuuwa kabisa elimu yetu.
 




Mimi kiumri nipo hapo kwa GEN Z

Ila niwaambie mchezo mlioufanya ile 29/10 ulikuwa wa kitoto Sana .
 
Waamini sugu walipewa vijana kuwasimamia wahakikishe wanaandama,kila mmoja watatu watatu,waliwapa mlo,makazi na probably malipo,walipoenda front wakakuta jamaa hawatanii,wanafumua mafuvu tu
Waliokamatwa wanawataja masters wao, ndiyo wanadakwa
Labda wewe tu ndio mgeni wa polisi na hicho kinachoendelea, polisi wakikukamata wanakupiga kukulazimisha utaje wenzako hivyo unajikuta unalazimika kutaja tu wenzako hata kama hukushirikiana nao kwenye tukio husika ili kujinusuru na kipigo, na polisi wanaenda kuwakamata na hapo ni mchezo wa hela tu.

Hiyo tabia ya polisi toka kabla hata ya haya maandamano.
 
Mimi kiumri nipo hapo kwa GEN Z

Ila niwaambie mchezo mlioufanya ile 29/10 ulikuwa wa kitoto Sana .
Wewe siyo GenZ.
Una mawazo ya uchama na udini na uchawa.
Uchawa dhambi.
Chawa ni wanyonyaji (parasite). Chawa wananyonya maendeleo ya taifa letu kwa njaa zao na tamaa.
 
Matukio ya Ahmed Ghailan na wengine wengi yalishathibitisha kuwa hamna kitu Zaid ya kulundika watu wasio husika na kuwatesa.

Intelijensia inayorandana na umbea.
 
Wewe siyo GenZ.
Una mawazo ya uchama na udini na uchawa.
Uchawa dhambi.
Chawa ni wanyonyaji (parasite). Chawa wananyonya maendeleo ya taifa letu kwa njaa zao na tamaa.


MIMI NAENDA BEYOND NDO MAANA MPAKA SASA HAPA JF MNAFUNGUA NYUZI MKIJADILI MACHAWA.


KUMBUKA MIMI HII VITA SIJIFUNZI ILA NDO KAZI YANGU NILIOSOMEA CHUO.

KWAHIYO DON'T EXPECT SOFT GAME

SAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFE
 
Mpuuzi ww
 
MIMI NAENDA BEYOND NDO MAANA MPAKA SASA HAPA JF MNAFUNGUA NYUZI MKIJADILI MACHAWA.


KUMBUKA MIMI HII VITA SIJIFUNZI ILA NDO KAZI YANGU NILIOSOMEA CHUO.

KWAHIYO DON'T EXPECT SOFT GAME

SAY NO DEMONSTRATION , PROTECT UR LIFE
Go get back your school and college tuition fees. Reclaim your lost money.
Professional PSYOPs or propagandists doesn't look like the one I see from your works in JF. You're acting like a freshman or sophomore trying to prove something to his peers.
You need to rewatch Humphrey Polepole's podcasts, at least you will learn the art of ...
Between you and Mange Kimambi I will choose her, if I had to hire someone in my propaganda project.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…