Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Sasa ulishindwa nini kujibu hivyo toka mwanzo?

Turudi kwenye swali langu.
 
#USIPOOA UTAOLEWA

 
Kiufupi hatukatai ndoa ila tunakataa yaliyomo ndani ya ndoa ambayo yameondoa dhana nzima ya ndoa
 
Sio kweli bwana acha kupotosha
napotosha nini wakati hali halisi inaonekana? Kajaribu kuoa mtoto ambaye amelelewa na mama tu uone matokeo yake. Usichanganye wale wamama wajane, kaoe mtoto wa single mother star ndio utajua dunia ilivyo. Unabisha nini, au nawe upo single mother/umelelewa na mama tu?
 
Hawana nguvu za kiume ujue
 
Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru

Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
Umeona unavyojichanganya?

Tatizo lako hutumii akili kujadili mambo yanayohitaji AKILI kubwa.

Huna hoja ya msingi kupinga au kutudhihaki sisi wakataa NDOA.

Si kila ambae anakataa NDOA ni Mzinzi.
Si kila aliye kwenye Ndoa ni mtakatifu.
 
Ndoa iko replaced na feminism.

Ndoa ni uwanja mapambano, ni uwanja wa mapigano, ni uwanja wa mafarakano, ni uwanja wa ngumi, mateke, kuchomana visu, kuchinjana, kujinyonga na kunyongana na ni uwanja wa vita kali sana ya Maneno, vita ya kiuchumi, vita ya kisaikolojia nakadhalika nakadhalika, nakadhalika........

Ni mwendo wa kuchunguzana strengths and weakness phisically, mentally, economically, socially and politically na baada ya hapo assembling of weapons na mashambulizi kuanza mara moja......
 
Huelewi hata maana ya uzinzi.

Kusex na wanawake wengi ndio "Uzinzi" ukisha sex na mwanamke zaidi ya mmoja wewe tayari ni mzinzi, Haijalishi uko single au kwenye ndoa.

Wanandoa wengi ndio wazinzi kupindukia.

Hakuna uhusiano wowote wa kukataa ndoa na Uzinzi.

Wanandoa wachepukaji na wao ni kundi hilo hilo la wazinzi.

KATAA NDOA.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Umeona unavyojichanganya?

Tatizo lako hutumii akili kujadili mambo yanayohitaji AKILI kubwa.

Huna hoja ya msingi kupinga au kutudhihaki sisi wakataa NDOA.

Si kila ambae anakataa NDOA ni Mzinzi.
Si kila aliye kwenye Ndoa ni mtakatifu.
Wanandoa wengi ndio wazinzi kupindukia.

Ni wachepukaji na wagawaji tigo kabisa.

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
sio kwamba wa2 wanakataa ndoa!!!,tatizo ni kwamba ndoa ni changamoto kubwa ndugu yangu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! angalia majirani zako,angalia marafiki zako angalia ndugu zako,,,je?? ndoa zao ziko salama??? na kama ziko salama je??? zina amani!!!.............................................nakwambia usishangae MUNGU akaleta agano jingine kuhusiana na ndoa!!!
 
Hivi Yesu alikuwa mtoto wa Single mother ?
 
Kubwa single haimaanishi una furaha, uko salama, na kadharika... Upweke upelekea usongo wa mawazo
 
Wanakataa sheria za sasa za ndoa(feminists laws) siyo ndoa, Sheria zinazoenda kinyume na maelekezo ya Dini na mila na desturi zetu. Sheria zinazompendelea mwanamke na kumgandamiza mwanaume , mtu anaona kuliko afe kwa stress bora awe single, kama ngono atanunua tu hata kwa wake za watu, maana sheria zipo kuwa ukahaba (prostitution) ni kosa la jinai lakini hawakamatwi na wanajigamba WANADANGA, ukioa mali ulizozichuma kwa jasho zitapotea kirahisi mke akienda kudai talaka mahakamani. Tatizo ni SHERIA za sasa ni za kumpendelea mwanamke tu.
 
Nani alikuambia mtu aliye amua kuwa single ana upweke unamsumbua ?
Ndoa inatoa Emotional Support... Wewe ukipata shida kuna mambo uwezi kumshirikisha rafiki, au ndugu.... Utataka umshirikishe mtu wa karibu kabisa ambaye ni mwenza... Ukiwa hauna mwenza unakufa kibudu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…