Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Mnakataa Ndoa kuhalalisha Uzinzi

Watoto waliozaliwa bila ndoa wakalelewa na mama tu hawatajua thamani ya ndoa, na wao hawatatamani kuoa/kuolewa, wataona mtindo alioishi mama yao bila mume ni mtindo wa maisha mzuri
 
Watoto waliozaliwa bila ndoa wakalelewa na mama tu hawatajua thamani ya ndoa, na wao hawatatamani kuoa/kuolewa, wataona mtindo alioishi mama yao bila mume ni mtindo wa maisha mzuri
Sio kweli bwana acha kupotosha
 
Sababu ya kuoa ndo uamua ndoa itadumu kwa muda gani au itakutesa kwa muda gani.

Tatizo ni kuoa ovyo bila kujua kwanini unaoa. Kama huyo padri sababu yake kuu ni ngono, sasa utaifanya hiyo ngono masaa 3 kwa siku then masaa mengine mtafanya nini? Hakupaswa kufunga ndoa bila kujua jibu la hilo swali.

Unaoa ili nini? Mwenzako anajua kwanini unamuoa?

Kwanini unaoa/kuolewa?
1. Kupata uraia.
2. Kulea watoto katika mwavuli mmoja.
3. Kukuza uchumi.
4. Kujilinda na magonjwa.
5. Maagizo ya dini.
6. Heshima katika jamii
7. Nafasi ya kisiasa
8.Fursa za ajira
9.Ngono
10. Hisia za mapenzi tu
11. Kubadili hali ya umasikini ya ulikotoka.

Sababu ni nyingi, Lazima muelewane sababu zenu za kuamua kuoana na hiyo sababu ikishatimia ni nini kinafuata.
Umenena vyema
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Umeongea vyema kabisa...

Huo umasikini, Ukilema, au kufa vinaweza kukupata hata ukiwa nje ya Ndoa....

Muda mwingine tamaa za uzinzi zikikuandama uwezi kuipenda ndoa... Maana ndoa inakunyima uhuru wa kufanya uzinzi. Yeyote anayepinga ndoa ni Mzinzi ana wanawake wengi au wanaume wengi anaona akioa au kuolewa basi hatakosa uhuru wa kuwa nao...

Ndoa ni mpango wa Mungu wa kutunza watoto, watoto wakilelewa kwenye ndoa wengi wao uwa na maadili, pia ndoa utengeneza jamii bora... Lakini jamii iliyotengenezwa na watu wasiokuwa kwenye Ndoa ni jamii inayojaa maovu, watoto uwa na wengi wao uwa na maadili mabovu
Kwamba ambao wameoa sio wazinzi ? 🤡

Kwa nini Yesu na Paulo hawakutimiza mpango wa huyo Mungu ?
 
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.

Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.

Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...

Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake. Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.

Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.

Kubali Ndoa kataa Uzinzi.

Kuna:

  • Wenye ndoa
  • Wenye wake 5
  • Wanaonekana wadini
  • Na wengine wengi

Wazizi na waesharti wa kutupa..

Ndoa, kwa jamii ya sasa sio suluhisho la ngono na sex kwa mwanaume.
 
Umeongea vyema kabisa...

Huo umasikini, Ukilema, au kufa vinaweza kukupata hata ukiwa nje ya Ndoa....

Muda mwingine tamaa za uzinzi zikikuandama uwezi kuipenda ndoa... Maana ndoa inakunyima uhuru wa kufanya uzinzi. Yeyote anayepinga ndoa ni Mzinzi ana wanawake wengi au wanaume wengi anaona akioa au kuolewa basi hatakosa uhuru wa kuwa nao...

Ndoa ni mpango wa Mungu wa kutunza watoto, watoto wakilelewa kwenye ndoa wengi wao uwa na maadili, pia ndoa utengeneza jamii bora... Lakini jamii iliyotengenezwa na watu wasiokuwa kwenye Ndoa ni jamii inayojaa maovu, watoto uwa na wengi wao uwa na maadili mabovu
Mkuu maovu yanafanywa na watu wasiojitambua na kutambua utu wao na wa watu wengine , haijalishi katoka kwenye ndoa au lah , faida ya ndoa ni kurahisishia serikali na dini ili watu waweze kutawalika kirahisi.
 
Tafsiri ya uzinzi na uasherati ni nini?
Nini unachotaka kufahamu usicho fahamu ?
Screenshot_20230929-115046.jpg

Turudi kwenye swali langu
 
Hakuna.

Swali langu umejibu lakini au unazidi kutunga ya kwako tu ?
Swali lako ni YESU alikuwa mzinzi? Nikakuuliza tafsiri ya uzinzi ukasema kufanya ngono na wanawake wengi nikakuuliza kama YESU alifanya na wanawake wengi ukasema hakuna aliofanya nao hivyo jibu ni HAKUWA MZINZI. Sasa kama na wewe una sifa za YESU hata usipooa sawa.
 
Back
Top Bottom