Tsh
JF-Expert Member
- Aug 26, 2021
- 17,022
- 36,936
Hakuna.Hivi mtu asipotaka kuoa kunakuwa na tatizo ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna.Hivi mtu asipotaka kuoa kunakuwa na tatizo ?
Kwani ambao hawaoi wote wanataka ngono ?Kuna sehemu inasema alitaka ngono?
Sio kweli bwana acha kupotoshaWatoto waliozaliwa bila ndoa wakalelewa na mama tu hawatajua thamani ya ndoa, na wao hawatatamani kuoa/kuolewa, wataona mtindo alioishi mama yao bila mume ni mtindo wa maisha mzuri
Tafsiri ya uzinzi na uasherati ni nini?Kwani ambao hawaoi wote wanataka ngono ?
Umenena vyemaSababu ya kuoa ndo uamua ndoa itadumu kwa muda gani au itakutesa kwa muda gani.
Tatizo ni kuoa ovyo bila kujua kwanini unaoa. Kama huyo padri sababu yake kuu ni ngono, sasa utaifanya hiyo ngono masaa 3 kwa siku then masaa mengine mtafanya nini? Hakupaswa kufunga ndoa bila kujua jibu la hilo swali.
Unaoa ili nini? Mwenzako anajua kwanini unamuoa?
Kwanini unaoa/kuolewa?
1. Kupata uraia.
2. Kulea watoto katika mwavuli mmoja.
3. Kukuza uchumi.
4. Kujilinda na magonjwa.
5. Maagizo ya dini.
6. Heshima katika jamii
7. Nafasi ya kisiasa
8.Fursa za ajira
9.Ngono
10. Hisia za mapenzi tu
11. Kubadili hali ya umasikini ya ulikotoka.
Sababu ni nyingi, Lazima muelewane sababu zenu za kuamua kuoana na hiyo sababu ikishatimia ni nini kinafuata.
Kwamba ambao wameoa sio wazinzi ? 🤡Umeongea vyema kabisa...
Huo umasikini, Ukilema, au kufa vinaweza kukupata hata ukiwa nje ya Ndoa....
Muda mwingine tamaa za uzinzi zikikuandama uwezi kuipenda ndoa... Maana ndoa inakunyima uhuru wa kufanya uzinzi. Yeyote anayepinga ndoa ni Mzinzi ana wanawake wengi au wanaume wengi anaona akioa au kuolewa basi hatakosa uhuru wa kuwa nao...
Ndoa ni mpango wa Mungu wa kutunza watoto, watoto wakilelewa kwenye ndoa wengi wao uwa na maadili, pia ndoa utengeneza jamii bora... Lakini jamii iliyotengenezwa na watu wasiokuwa kwenye Ndoa ni jamii inayojaa maovu, watoto uwa na wengi wao uwa na maadili mabovu
Kumekuwa na Wimbi kubwa aina ya Tsunami ambalo limekuwa likijinadi kuhusu kukataa Ndoa, likitoa sababu mbalimbali za kujitetea.
Lakini mtu anayekataa Ndoa anakabili vipi hisia zake. Binadamu tumeumbwa na Sexual Desire (Matamanio ya kufanya ngono) for pleasure, yani kwa ajili ya kujiburudisha. Na hali hii ya matamanio ya ngono umkumba kila mtu, mpaka wazee.
Kukataa Ndoa maana yake, unakuwa mtu huru, ukiwa mtu huru na ukapatwa na sexual desire, matamanio ya kufanya Ngono maana yake unayaondoa vipi hayo matamanio...
Njia ambazo hutumika kuondoa sexual desire Moja ni kujichua na nyingine ni kufanya mapenzi na watu tofauti tofauti, kama ni mwanaume atakuwa anatafuta wadada wa one night stand (Penzi la usiku mmoja) mfano malaya au wanawake watakao kuwa rahisi. Na kama ni Mwanamke basi atajirahishisha kwa mwanaume hili aweze kukizi haja zake. Na wanawake aina hii wengi wanatumia neno "Kudanga" kama kichaka cha kuondoa hamu ya tendo la ndoa, na wengi wao uchepuka na waume za watu, huku wakijificha kwenye kivuli cha Single Mother.
Maana yake ni kwamba watu wanaokataa Ndoa ni watu wanaofanya uzinzi hili kukizi matamanio yao ya mwili.
Kubali Ndoa kataa Uzinzi.
Kwamba ambao wameoa sio wazinzi ? 🤡
Kwa nini Yesu na Paulo hawakutimiza mpango wa huyo Mungu ?
Mkuu maovu yanafanywa na watu wasiojitambua na kutambua utu wao na wa watu wengine , haijalishi katoka kwenye ndoa au lah , faida ya ndoa ni kurahisishia serikali na dini ili watu waweze kutawalika kirahisi.Umeongea vyema kabisa...
Huo umasikini, Ukilema, au kufa vinaweza kukupata hata ukiwa nje ya Ndoa....
Muda mwingine tamaa za uzinzi zikikuandama uwezi kuipenda ndoa... Maana ndoa inakunyima uhuru wa kufanya uzinzi. Yeyote anayepinga ndoa ni Mzinzi ana wanawake wengi au wanaume wengi anaona akioa au kuolewa basi hatakosa uhuru wa kuwa nao...
Ndoa ni mpango wa Mungu wa kutunza watoto, watoto wakilelewa kwenye ndoa wengi wao uwa na maadili, pia ndoa utengeneza jamii bora... Lakini jamii iliyotengenezwa na watu wasiokuwa kwenye Ndoa ni jamii inayojaa maovu, watoto uwa na wengi wao uwa na maadili mabovu
Lakini huna uwezo wa kuweka demand kwa kuna product sio yako.
Nini unachotaka kufahamu usicho fahamu ?Tafsiri ya uzinzi na uasherati ni nini?
YESU alifanya mapenzi na wangapi?
Tuachane na Paulo, Yesu Mungu kwa mujibu wako wewe peke yako ?Paul, Yes, Yesu ni Mungu.
Hakuna.YESU alifanya mapenzi na wangapi?
Swali lako ni YESU alikuwa mzinzi? Nikakuuliza tafsiri ya uzinzi ukasema kufanya ngono na wanawake wengi nikakuuliza kama YESU alifanya na wanawake wengi ukasema hakuna aliofanya nao hivyo jibu ni HAKUWA MZINZI. Sasa kama na wewe una sifa za YESU hata usipooa sawa.Hakuna.
Swali langu umejibu lakini au unazidi kutunga ya kwako tu ?
Mmmh Kiswahili buana!
Tuachane na Paulo, Yesu Mungu kwa mujibu wako wewe peke yako ?
🤣Kama waliopo kwenye ndoa hawafanyi uzinzi unayo haki ya kusema hivyo , hili neno uzinzi lilianza kupata nguvu sana baada ya wakoloni kuja africa.