Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Nini maana ya live your life???!!! Sasa mbona we you are not living your life...

Mtu akifake, akisema ni bilionea, anamiliki treni we unaumia nini??

Childish!!
Hujaelewa maana ya live your own life,mtu akisema namiliki SGR au ATCL ni
direct unajua huu ni utani,fake life na mfano wako wala havina uhusiano!
 
Hahaha kama yule Sir jeff kawala sana wadada wa humu yaani ni uncountable baada ya utapeli akachoropokea twitter kule 🀣🀣🀣

Huyo dogo wa 99 aliyekuwa anamla wangari maathai tag I'd yake kama unaijua mkuu
 
Nilihisi kuwa ni mtu mmoja tu huyo, anagombana na kivuli chake. Mpaka leo naamini hivyo.
 
Mzee hakuna hata ka link ka huo uzi, utufukulie kaburi?
 
Aseee na watu walizitafuna kweli mbususu za jf.......watu waliona hawatosheki wakafungua na ma group ya whatsap ili wapate na namba kirahisi.....ndo maana kwa sasa id nyingi kongwe hasa kwa wadada zimepotea
Hahaha
 
Walikuwa wanakulana pia hiyo ni wazi ila Mshana kwa humu apewe maua yake yy ni king Solomon wa JF aseee πŸ–οΈπŸ–οΈπŸ–οΈ




Yuko na I'd nyingine I'm sure
πŸ˜‚πŸ˜‚ Nilijua tu hili fekero sio la kheri kabisa. Hope urassa muone crush wako alivyo mmbea. Kumbe tungefedheheka manka.🀣😏😏
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…