Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Hahahaha ikaona inachoreshwa.
 
Kina mpwayungu village na BabaMorgan na Mcqueenen wanaingia na gear eti wenyewe wankunywaga jack Daniels. Ila mpwayungu ana swagger za ajabu.

adriz naye kamaliza chuo 2020 Islamic university. Yeye kwa mawazo yake eri akija na gear za kidini ataopoa madem wakali wa Kiislamu.
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imeshakufa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi wa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Hahahhahahaha
Eti mishangazi mingine ambayo imeshakufa [emoji16][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hapo unamlenga warumi au sio
 
Jf ya kpnd hiki na miaka kurudi nyuma hadi 2012 ndo ilikua jf, nakumbuka hata admin wa rahatupu blog alikuaga na account humu, mdada fln hv nmesahau jina lake. Kulikua kuna utofauti kati ya wakubwa na wadogo, sikuhizi wote ni humohumo
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imeshakufa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi wa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii JF kuna watu wana historia nayo ya kuweza kutengeneza series yenye season 10 kila season episodes 10+.

JF sio kichaka ni pori kubwa sana.
 
Saaaagudaa mutu wangu inakuwaje. Unajuwa wewe ndo ulikuwa unatutukanaga sana Bavicha unakumbuka. Nakumbukaga uzi wako flani wa ngerengere jiwe alivyoenda kupatembelea.
Shida yenu BAVICHA hamueleweki, ndiyo maana sasa hivi hamueleweki nani hasa mnamuunga mkono kati ya SSH na Mwenyekiti wenu. Mpo kwenye kundi la mama kuupiga mwingi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…