Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Saaaagudaa mutu wangu inakuwaje. Unajuwa wewe ndo ulikuwa unatutukanaga sana Bavicha unakumbuka. Nakumbukaga uzi wako flani wa ngerengere jiwe alivyoenda kupatembelea.
We
Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication.

Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi.

Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada intelligent Nifah.

Lilikuwa bifu la aina yake. Hili bifu liliendelea hadi 2015 ama mwanzoni 2016. Baada ya hapo bifu liliisha.

Ila popoma lilizidi kukera. Yani alikuwa anamshambulia sana mzee wwtu kipenzi rais wa mioyo ya watanzania Ndugu Edward N Lowassa. Na hapo ndipo alijenga maadui wengi.
sawa mrembo.😘nawewe I'd yako yazamani ulikuwa unaitwa Nani?
 
Huyu Genta ameshindikana humu naona.Maana kila siku anaafunguliwa nyuzi na hapo ndipo anapojizolea umaarufu
Mimi kama kaka yake wa hiyari, nimeamua kujitolea kumrekebisha kistaarabu. Ni suala tu la muda kabla ya kuja kunishukuru humu jukwaani.

GENTAMYCINE, your brother is here to help you. Get prepared! Ok?
 
Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication.

Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi.

Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada intelligent Nifah.

Lilikuwa bifu la aina yake. Hili bifu liliendelea hadi 2015 ama mwanzoni 2016. Baada ya hapo bifu liliisha.

Ila popoma lilizidi kukera. Yani alikuwa anamshambulia sana mzee wwtu kipenzi rais wa mioyo ya watanzania Ndugu Edward N Lowassa. Na hapo ndipo alijenga maadui wengi.
Kwenye Heading umeandika ID ya Tapeli wa ID yangu na anayetaka Kusafiria Nyota yangu Kali Kiumaarufu, Kiushawishi na Kimvuto ya GENTAMYCIME ( Gentamycime ) halafu hapa katika Thread Content yako umeniandika Mimi Bingwa Lao / Mshindi wa Shindano la Mwanachama Bora Jukwaa la Michezo ( Sports ) JamiiForums kwa mwaka huu wa 2022 GENTAMYCINE. Je, ni yupi uliyemlenga hasa katika huu Uzi wako?

Vipi Kibarua chako hapo Singida United FC kinaenda sawa? Kule Sinza ulihama au? Singida United FC mnacheza lini tena hapa Dar es Salaam ili ukija nayo kama Mmoja wa Kiongozi wao mkubwa wq Idara fulani uniletee GENTAMYCINE Mafuta ya Alizeti na Kuku wa Kufuga?
 
GENTAMYCINE na GENTAMYCIME i hope ulimaanisha huyo wa kwanza
Ndiyo ambaye ndiyo Habari ya Mjini kwa sasa JamiiForums halafu ID yake ni Content tosha kwa Kuianzishia Uzi wowote ule na bado Members ( mpaka wale Wanaonichukia ) watauchangamkia katika Kuujadili.

Ukiumbwa na Nyota Kali na Mwenyezi Mungu huku ukiwa na Natural Charm ni raha sana. Yaani kila mara ni GENTAMYCINE tu. Asante Mungu na endelea Kunibariki tu Baba.
 
Huyu Genta ameshindikana humu naona.Maana kila siku anaafunguliwa nyuzi na hapo ndipo anapojizolea umaarufu
Umeandika Kitu Kikubwa na cha maana mno Kiongozi wangu. Wanaonichukia Kutwa, Kunijadili na mpaka Kunianzishia Threads za kila namna ndiyo Wanaonifanya nifuatiliwe, nipendwe na niwe Maarufu hadi wengine akina vibertz, Tate Mkuu, Mrs Lissu, OKW BOBAN SUNZU wanichukie hata kutamani ama ID hii ifutwe kabisa hapa JamiiForums au wasikie nimeshakata Moto mazima Kidunia.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
 
Halafu kwa Ushuhuda kama huu bado akina vibertz, Tate Mkuu na Mrs Lissu na Wengine baadhi wakisikia GENTAMYCINE nimeshinda Shindano lolote hapa JamiiForums au Napendwa na Kukubalika mno hawaamini, hawataki na Wanakasirika mno.

Mimi ndiyo GENTAMYCINE The King!!!!
Kwa hiyo unakubali wewe ni Popoma!

Halafu ishu za Edward Lowassa kuhamia UKAWA zina uhusiano gani na hili jukwaa letu pendwa la michezo?
 
Kwa hiyo unakubali wewe ni Popoma!

Halafu ishu za Edward Lowassa kuhamia UKAWA zina uhusiano gani na hili jukwaa letu pendwa la michezo?
Hopeless hili Swali lako muulize Mleta Mada na siyo Mimi sawa? Next time use your Brain fully sawa?

Hivi hili ni Jukwaa la Michezo kama ulivyotaja hapa? Tatizo lenu mnatumia Nguvu Kubwa Kunichukia huku mkiwa hamna Akili na mnaishia Kukosea ( Kuchemka ) tu kama hivi.
 
Basi hili jukwaa ndilo linalokufaa. Kule kwenye michezo, tuachie wenyewe.
 
Back
Top Bottom