utopolo og
JF-Expert Member
- Nov 29, 2022
- 575
- 1,575
Warumi alikuwa ni wale watu jinsia ya tatu [emoji304][emoji304]Kazi ipo. Je, na hii ID yako siyo yangu pia?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Warumi alikuwa ni wale watu jinsia ya tatu [emoji304][emoji304]Kazi ipo. Je, na hii ID yako siyo yangu pia?
Kulikuwa na member na member ambao ni VIP. Enzi hizo sikuthubutu hata kuandika comment hapa maana nilijiona very inferior asee.😂😂😂😂😂😭😭😭😭
Nacheka na kulia kwa wakati mmoja
Aringe,popoma akili kisoda hawezi kuwa boldNdiye popoma ?
😂😂😂😂😂😂😂😂Kulikuwa na member na member ambao ni VIP. Enzi hizo sikuthubutu hata kuandika comment hapa maana nilijiona very inferior asee.
Kaolewa na Mzee mwenye mihela kamkataza Haya mambo ya mitandao.Wako wapi kina florah msofe?
Maoligarchy walikua wengi 😂😂Wazee wa kudownload pesa. Enzi hizo jf ilikua inanuka utajiri
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mishangazi inabali I'd kila siku inajifanya pisi kali.
FaizaFoxy si ni muislam swala 5 huyu, unamchafulia cv mkuu!!Faiza foxy
Cocochanel
Miss chaga
Espy
atoto
Arusha one
Ritz
Etrugul
Saivi inanuka [emoji90][emoji90][emoji90] sioWazee wa kudownload pesa. Enzi hizo jf ilikua inanuka utajiri
Umesahau uxinzi mkuuuJamiiforum ya zamani ilijumuisha watu wakubwa na wenye ushawishi. Sasa hivi matusi, uzushi, utapeli na uongo vimeivamia jf.
Oyaa mamy k na k yakeTumewakosea nini lakini mishangazi?[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Huyo mrs lissu ni mpumbavu kinoma asee [emoji2961][emoji2961][emoji2961][emoji2961]
Hahaha prince juntaEnzi hizo ulikuwa unachelewa kulala alafu unaamka mapema unaingia JF inakufariji sababu unalala sebuleni sofani kwenye nyumba ambayo dadaako ndo alikuwa ameolewa akakutoa kijijini akakuleta mjini ili uwe unampeleka na kumchukua Junior shuleni
Alikuwa anaitwa NancyJf ya kpnd hiki na miaka kurudi nyuma hadi 2012 ndo ilikua jf, nakumbuka hata admin wa rahatupu blog alikuaga na account humu, mdada fln hv nmesahau jina lake. Kulikua kuna utofauti kati ya wakubwa na wadogo, sikuhizi wote ni humohumo
😂😂😂Kulikuwa na member na member ambao ni VIP. Enzi hizo sikuthubutu hata kuandika comment hapa maana nilijiona very inferior asee.
Unanitaja kwa kutumia "code"?Hii JF kuna watu wana historia nayo ya kuweza kutengeneza series yenye season 10 kila season episodes 10+.
JF sio kichaka ni pori kubwa sana.