Mimi miongoni mwa wanaosapoti kauli hizo, sababu kulikuwa hakuna unazi kwenye majukwaa ya nondoz na unakuta nyuzi na comments zona uchambuzi ulioshiba kuliko sasa hivi ukiona comment ya
MK254 international basi tegemea unazi na vicheko vya kinadada "hehehehe" baada ya kujibu hoja.
Vilevile watu wa kutoa madini wengi walikuwepo mfano @humbeafrican The Bold hata Popoma
GENTAMYCINE ilikuwa ukiona uzi wake unajua leo hapa kuna madini mazito mtu hadi unajiona haujafikia uwezo wa kupost uzi humu ,sasa hivi mtu uzi anafyatua tu akishiba mapande ya muhogo.Hayo mambo yalikuwa Celebrity ,Chitchat na MMU tu.