Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mimi miongoni mwa wanaosapoti kauli hizo, sababu kulikuwa hakuna unazi kwenye majukwaa ya nondoz na unakuta nyuzi na comments zona uchambuzi ulioshiba kuliko sasa hivi ukiona comment ya MK254 international basi tegemea unazi na vicheko vya kinadada "hehehehe" baada ya kujibu hoja.

Vilevile watu wa kutoa madini wengi walikuwepo mfano @humbeafrican The Bold hata Popoma GENTAMYCINE ilikuwa ukiona uzi wake unajua leo hapa kuna madini mazito mtu hadi unajiona haujafikia uwezo wa kupost uzi humu ,sasa hivi mtu uzi anafyatua tu akishiba mapande ya muhogo.Hayo mambo yalikuwa Celebrity ,Chitchat na MMU tu.
@Humble African jamaa alikua na nondo sana!
 
Wee tutakupiga mzee,hii JF ya mada za kwa mparange uifananishe na JF ya nondo za Magamba matatu,Humble African na Pascall mayalla wa zamani enzi hizo anaitwa pasco!! Sio kweli aisee!! Hii JF muulize Lowassa atakwambia kwanini aliamua kujiuzuru chanzo ilikuwa ni Jf,

Kuna kipindi humu kina Dr Slaa,Kitila Mkumbo,Zitto Kabwe,Kigwangalla na Mwigulu ilikuwa wakianzisha mada ni mawe kwelikweli kabla hawajaanza zile itikadi za kusifiasifia hovyo..Zamani taarifa zikiletwa huku ni uhakika ukisikia fulan kesho anatumbuliwa ujue ni kweli,

Ukisikia Fulani ni raisi ajaye ujue ni kweli
..Tulipata sana ujiko kwenye vijiwe vya kahawa kwa kuleta nondo za humu
Wahenga mko na midlife crisis tu, JF ya sasa ni bora zaidi.
 
Hawa naweza sema waliponzwa na show offs,
Kuna watu hawapendi kuona wengine wanapendana,
Zikarushwa picha humu na maelekezo kede kede,

Halafu watu wenye show off mara nyingi hawapendani jus kuonyesha raia kwamba wanapendana ila wanapitia vitu vingi sana.

Kuna mdada FB alikuwa anampost sana mmewe akionyesha kwamba anampenda sana ,yeye ndiyo baba watoto ila juzi juzi naona kapost m/me mwingine na kusema ndiyo baba wa mwanae na si yule wa awali.... 😀
 
Unazi huu ulinishindaga
 
Back
Top Bottom