Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mimi miongoni mwa wanaosapoti kauli hizo, sababu kulikuwa hakuna unazi kwenye majukwaa ya nondoz na unakuta nyuzi na comments zona uchambuzi ulioshiba kuliko sasa hivi ukiona comment ya MK254 international basi tegemea unazi na vicheko vya kinadada "hehehehe" baada ya kujibu hoja.

Vilevile watu wa kutoa madini wengi walikuwepo mfano @humbeafrican The Bold hata Popoma GENTAMYCINE ilikuwa ukiona uzi wake unajua leo hapa kuna madini mazito mtu hadi unajiona haujafikia uwezo wa kupost uzi humu ,sasa hivi mtu uzi anafyatua tu akishiba mapande ya muhogo.Hayo mambo yalikuwa Celebrity ,Chitchat na MMU tu.

Hehehe shukrani shabiki kuendelea kunifuatilia, nilishawaahidi siwaangushi....nawakumbushia laana yenu ya kidini na mengine siku zote.
 
Halafu watu wenye show off mara nyingi hawapendani jus kuonyesha raia kwamba wanapendana ila wanapitia vitu vingi sana.

Kuna mdada FB alikuwa anampost sana mmewe akionyesha kwamba anampenda sana ,yeye ndiyo baba watoto ila juzi juzi naona kapost m/me mwingine na kusema ndiyo baba wa mwanae na si yule wa awali.... 😀
Ukijiingiza kwenye maonesho ya mitandaoni umekwishaaa utaishi kua mtumwa wa watu wengine huku wewe ukiteketea, itakulazimu kila siku kutafuta content ya kuwaonesha mko vizuri kumbe holaaa na maadui wataongezeka kuhakikisha hayo maonesho hayafiki mbali
 
Halafu [mention]MK254 [/mention] alikua anaandika mambo ya maana sana hapa, uchumi, afya, maendeleo, pepo wa jf akaanza kumuingia huyo nikaona analeta habari za osama, waislamu akaanza kuwaita wavaa kobazi,, akaanza kuwakandia alshabaab, akarukia boko haram, kwa sasa kajibanza ukraine maana alimshabikia Raila akaangukia pua,
 
Hivi Dada Jane yupo kweli?
 
Back
Top Bottom