Mimi naikumbuka ya Malaria Sugu vs Rev. Masanilo (2010 - 2023)Vita kali nisiyosahau ni ya Malaria Sugu vs Bujibuji. Hawa wakianza kutwangana unachukua popcorn na kuandaa mbavu zako[emoji1787]
Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
Kuna ile ya Rev. Masanilo vs Ritz, Faizafoxy na Zomba