Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Mnakumbuka bifu kali Jamvini kati ya Gentamycime na Nifah 2014-2015

Maghayo

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2014
Posts
20,307
Reaction score
47,210
Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication.

Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi.

Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada intelligent Nifah.

Lilikuwa bifu la aina yake. Hili bifu liliendelea hadi 2015 ama mwanzoni 2016. Baada ya hapo bifu liliisha.

Ila popoma lilizidi kukera. Yani alikuwa anamshambulia sana mzee wwtu kipenzi rais wa mioyo ya watanzania Ndugu Edward N Lowassa. Na hapo ndipo alijenga maadui wengi.
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imesharudisha mpira kwa kipa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi kwa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
 
Popoma enzi hizo ndo amegraduate SAUT mwanza mass communication.

Akawa anaandika threads na michango humu kwa kuweka rangi tofauti blue, nyekundu, njano, pink kwenye maandishi.

Huyu GENTAMYCINE popoma mtutsi uchwara kama sikosei kwaanzia mwishoni 2013 akaanza bifu kali na mwanadada intelligent Nifah.

Lilikuwa bifu la aina yake. Hili bifu liliendelea hadi 2015 ama mwanzoni 2016. Baada ya hapo bifu liliisha.

Ila popoma lilizidi kukera. Yani alikuwa anamshambulia sana mzee wwtu kipenzi rais wa mioyo ya watanzania Ndugu Edward N Lowassa. Na hapo ndipo alijenga maadui wengi.
Unapomwita fisadi kuu rais wa moyo wako sasa
 
Enzi hiyo kuna watu walikuwa wanajiona kama JF ni mali yao na huwezi kuwaambia kitu yani. Huyo dada ni mmoja wapo pamoja na mishangazi mingine ambayo imeshakufa na mingine imebadili ID ilikuwa ikiishi wa kuuza mbususu kwa makanjanja wa humu.
Em taja lishangazi limoja lililobadili id tulichangamkie.
 
Em taja lishangazi limoja lililobadili id tulichangamkie.
Ipo mingi sema kuijua inakuwa ngumu maana imebadili gear angani baada ya JF nayo kuvamiwa na vijana wengi wajuaji.

Hili kundi la hawa vijana ni wale waliohitimu vyuo kuanzia 2015 baada ya Magu kuchukua nchi na ajira kukoma so walikuwa na hasira za hovyo ukizingua ni matusi tu na walikuwa wakilamba mbususu wanakuja kuanzisha nyuzi ndio mishangazi ikaona noma ikaanza kupotea.
 
Back
Top Bottom