Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

enzi hizo
Screenshot_20211216-224253.jpg
 
Wazee Mnakumbuka Matangazo ya zamani hasa ITV yalivyokuwa na mvuto!?
Mfano mimi nakumbuka Sana Tangazo la Bia ya TUSKER...

Utaipata popote marafiki zako walipo,
Utaipata popote uendako,
Iwe mbali au karibu,
Unapojihisi upo na Wenye kufahamika,
Pamoja na Marafiki zako wa kweliiiii
Bia moja tuuuu ya kweliiiiiii....

WEWE TANGAZO GANI LILIKUSISIMUA!??
juzi tu hapa nilikuwa nakakumbuka hako kanyimbo[emoji16]...
 
Kuna mtu anaweza kuandika lyrics ya DUH ya tangazo la tigo la caller tune hapa,naikubali sana lile tangazo kuanzia video mpk lyrics yake[emoji1787]
 
Wazee Mnakumbuka Matangazo ya zamani hasa ITV yalivyokuwa na mvuto!?
Mfano mimi nakumbuka Sana Tangazo la Bia ya TUSKER...

Utaipata popote marafiki zako walipo,
Utaipata popote uendako,
Iwe mbali au karibu,
Unapojihisi upo na Wenye kufahamika,
Pamoja na Marafiki zako wa kweliiiii
Bia moja tuuuu ya kweliiiiiii....

WEWE TANGAZO GANI LILIKUSISIMUA!??
Mimi nalipenda lile Tangazo la Kuhimizana Kuvaa na Kutumia 'Condoms' vizuri pale 'Mkuyenge' ukiwa unatirirka Kiustadi kabisa 'Mbunyeni' Mkuu.
 
KK sukari nililisikia mwaka 2004 na sidhani kama niliwahi kuitumia. Nilikariri ni wimbo na sikuwa najua kama ni tangazo la sukari mpaka niliposoma hapa. Enzi hizo sijaanza chekechea
Nipe shikamoo yangu haraka...





2004 nipo darasa la 3
 
Back
Top Bottom