Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

Kuna tangazo lilikuwa linasema BWANA MENEJA UNA MINYOO??
Nayule meneja alikuwa anajibu kama muhindi !, No toka mimi hapana minyoo!!
Sikumbuki lilikuwa la dawa gani
 
mshindi sabuni mpya yenye nguvu na yenye kutakasa kuliko zoote, mshindiiiii eee , mshindi. miaka ya zamani sana 90 na.. hahaha
 
Mambo vipi wanajamii.

Kwa wale vijana wenzangu tuliozaliwa enzi za Nyerere na mwinyi kuna matangazo haya utakuwa unayakumbuka. Tangazo la kwanza ni lile linaloanza hivii "Tueleze siri ya Mafanikio yako", kisha yule mrembo anajibu "Sio siri ni Levora" nakumbuka kipindi kile watu walisema kuwa yule binti ni mtoto wa tajiri Mengi.

Tangazo la Pili ni la chai jaba. Nadhani kama Diamond platnum angekuwa anafanya muziki kipindi kile wangempa hii a.k.a "Chai jaba''.

Kwa aliye na Video ama audio ya matangazo haya atuwekee hapa tujikumbushie na pia kama unayakumbuka matangazo mengine yaliyovuma enzi zile hebu tutajie hapo chini.
Mshindi ni sabuni bora kuliko zote,
Yenye kutakasa kuliko zote,
Mshindi oyeee,
Mahindi.
 
Enzi unaangalia movie za mzee majuto alaf katikati ya movie linatokea tangazo la sabuni ya KOSHA unasikia kawimbo "kosha unaikosha"
 
Mshindi sabuni mpya yenye nguvu yenye kutakasa kuliko zotee mshindi eeeeeee...
[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kipindi Cha majira Cha asubuhi kinaanza au harakati saa 10:15 jioni radio Tanzania Dar esalaam
Kama ni asubuhi lzm kikukute njiani ndio angalau una uhakika wa kuwahi namba
 
Safari ni safari Lile la Safari Lager

KK SUKARI NI SUKARI KIJIKO KIMOJA

COWBELL OUR MILK...
KK sukari nililisikia mwaka 2004 na sidhani kama niliwahi kuitumia. Nilikariri ni wimbo na sikuwa najua kama ni tangazo la sukari mpaka niliposoma hapa. Enzi hizo sijaanza chekechea
 
Wazee Mnakumbuka Matangazo ya zamani hasa ITV yalivyokuwa na mvuto!?
Mfano mimi nakumbuka Sana Tangazo la Bia ya TUSKER...

Utaipata popote marafiki zako walipo,
Utaipata popote uendako,
Iwe mbali au karibu,
Unapojihisi upo na Wenye kufahamika,
Pamoja na Marafiki zako wa kweliiiii
Bia moja tuuuu ya kweliiiiiii....

WEWE TANGAZO GANI LILIKUSISIMUA!??
 
Tangazo la sigara ya SM wanaimba
" Vuta deeet menthol ni fresh ni poa ni yako" pamoja na tangazo la sabuni ya Revola iliyotumika sana na vijana kupigia nyeto
 
Wazee Mnakumbuka Matangazo ya zamani hasa ITV yalivyokuwa na mvuto!?
Mfano mimi nakumbuka Sana Tangazo la Bia ya TUSKER...

Utaipata popote marafiki zako walipo,
Utaipata popote uendako,
Iwe mbali au karibu,
Unapojihisi upo na Wenye kufahamika,
Pamoja na Marafiki zako wa kweliiiii
Bia moja tuuuu ya kweliiiiiii....

WEWE TANGAZO GANI LILIKUSISIMUA!??
Lilifurahisha sana na hilo li chui sijui walilicrop namna gani tu!
 
Tangazo la sigara ya SM wanaimba
" Vuta deeet menthol ni fresh ni poa ni yako" pamoja na tangazo la sabuni ya Revola iliyotumika sana na vijana kupigia nyeto
"Hali halisi ya Tanzania,Ni fresh Ni poa NI YAKO!

Lilikuwa poa Sana [emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom