Mnakumbuka Matangazo ya zamani ya Radio na ITV yalivyokuwa na mvuto!?

juzi tu hapa nilikuwa nakakumbuka hako kanyimbo[emoji16]...
 
Kuna mtu anaweza kuandika lyrics ya DUH ya tangazo la tigo la caller tune hapa,naikubali sana lile tangazo kuanzia video mpk lyrics yake[emoji1787]
 
"mama mpugi TUZI lote limenimwagikia... Watoto wako hao"
 
Mimi nalipenda lile Tangazo la Kuhimizana Kuvaa na Kutumia 'Condoms' vizuri pale 'Mkuyenge' ukiwa unatirirka Kiustadi kabisa 'Mbunyeni' Mkuu.
 
KK sukari nililisikia mwaka 2004 na sidhani kama niliwahi kuitumia. Nilikariri ni wimbo na sikuwa najua kama ni tangazo la sukari mpaka niliposoma hapa. Enzi hizo sijaanza chekechea
Nipe shikamoo yangu haraka...





2004 nipo darasa la 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…