THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,224
- 4,472
Siku za Hivi karibuni mpira umekua Ushindi sio kusema umecheza Vizuri.
Na Mwasisi wa Mbinu hii ni Jose Mourinho alionekanaga mhuni mwanzoni ila baadae ameanza kueleweka yeye atakuacha ucheze Mpira ila hesabu zake mara zote zipo kwenye kikombe au point 3 na huo ndio mpira wa sasa.
Mwaka Jana Yanga Dhidi ya Al Hilal kule Sudan alicheza Mpira Mwingi ila kilichomkuta Mwisho dakika 90 kafa 1.
Leo nashangaa mashabiki wa soka la Bongo wanasema Simba Kacheza Mpira Mwingi sana na wanasifia wamesahau Mpira Mahesabu Jion umeingiza kiasi gani.
Unashangalia unasema utamfunga kwa Mkapa unayajua ya Kesho mwenzako hapo tayar anapoint 3 tena kutoka kwako.
Tujifunze kuheshimu wapinzani na tunapofanya mahesabu vibaya tukubali Simba mahesabu yake leo kachoma.
NOTE:Yanga Na Nyie zamu yenu kesho njooni na Ngojera sasa za Tumecheza Vizur sijui Nyenye kinachotakiwa ni ushindi tu.