Mnakumbuka ya Yanga na Al Hilal Kule Sudan? Kwahiyo Msisifie Mpira Mzuri

Mnakumbuka ya Yanga na Al Hilal Kule Sudan? Kwahiyo Msisifie Mpira Mzuri

Naona utopolo mnakenua magego yote yenye mboga mboga za majani mmesahau kesho....!

Tunzeni maneno, mko kwenye nchi ambayo mliwatoa Club Africain, wanaweza kuungana kuhakikisha utopolo anachakazwa kama mwizi.

Hii ni ligi, judge the final results, who gonna make to the quarter finals in CAFCL and CAFCC
Na wakabondwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Jamaa una roho ngumu wewe!
Hauja lala tu?
Unaizungumzia kesho ambayo haijafika!..... tuzungumzie ya leo, ambayo Mbumbumbu kapakuliwa.
Nyie pia mmefirikaaaa vya kutoshaaa, mkapewa na bao LA nyongeza kufikishwa kileleni.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom