Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Kumekuwa na tuhuma nyingi sana za jeshi la polisi kuua kutesa na kupiga watuhumiwa. Lakini hatujawahi kusikia Igp au waziri Simbachawene akichukua hatua za kuwafuta kazi hawa askari wanaokiuka sheria za nchi.
Kisa cha familia moja huko mkoani Mbeya kukataa kuzika kijana wao zaidi ya mwaka aliyefia mikononi mwa jeshi la polisi ni ni mmoja ya visa vinavoonyesha kuwa kuna ukiukwaji mkubwa wa sheria.
Ukweli ni kuwa wapo watu wenye hatia na wasio na hatia ambao wanaumizwa na mateso ya askari polisi wanaofanya kazi kinyume na sheria. Lakini hawachukuliwi hatua.
Sasa kama mtu anasifia Nipa anafukuzwa mbona wanaotesa na kuua wasio na hatia hawachuliwi hatua!😱