Mnanitenga sana wakuu

Mnanitenga sana wakuu

Hellow wanachit chat

Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?

Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them?

Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa humo?,mnatajana kwa kujuana au hamjuani mnatajana tu?

Siamini kama hamjuani ,, au mnajuana,, Naombeni mnitaje na mimi nitakufa na sonona

##mgalikoko##
Ngoja nikakumention mkuu, Sonona haiwezi kukuchukua kirahisi hivi 😄
 
Hellow wanachit chat

Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?

Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them?

Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa humo?,mnatajana kwa kujuana au hamjuani mnatajana tu?

Siamini kama hamjuani ,, au mnajuana,, Naombeni mnitaje na mimi nitakufa na sonona

##mgalikoko##
acha kupenda kupendwa utaolewa ww😀😀
 
Back
Top Bottom