Sonona kisa kutajwa? Hauko vizuri ndugu.Nafaidika sana mkubwa hujui sonona ilvoniandama
so you understand what i write there..?We unao
Ngoja nikakumention mkuu, Sonona haiwezi kukuchukua kirahisi hivi ๐Hellow wanachit chat
Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?
Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them?
Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa humo?,mnatajana kwa kujuana au hamjuani mnatajana tu?
Siamini kama hamjuani ,, au mnajuana,, Naombeni mnitaje na mimi nitakufa na sonona
##mgalikoko##
acha kupenda kupendwa utaolewa ww๐๐Hellow wanachit chat
Mi mgalikoko ,kijana wa makamo, jinsia ya kiume ni, ni kwa nini mnanitenga sana humu chitchat?
Hasa ule uzi wa mention someone without any reason just to disturb them?
Mbona mimi sijawahi bahatika kutajwa humo?,mnatajana kwa kujuana au hamjuani mnatajana tu?
Siamini kama hamjuani ,, au mnajuana,, Naombeni mnitaje na mimi nitakufa na sonona
##mgalikoko##
Aksante sanaPole sana mkuu