Unawaza samaki tu Mkuu.Hayo mafuriko yaje tu, maana huja na chakula kingi, samaki wanakuwa ni wengi kila nyumba wanakula samaki. Nyumba zinazozingirwa na mafuriko hugeuka vizimba vya samaki. Wavuvi hujisikia vibaya sana wanapoona kila mtu anajiokotea samaki kirahisi
Point sana hii, wacha inyeshe mkuu tuone wapi ni madimbwi wapi ni viwanja vilivyo nyooka.Unakuta watu wananunua viwanja bondeni kwa bei rahisi wakati wa kiangazi, wanauziwa na wenyeji kinyemela kumbe ni makazi ya maji wakati wa mvua nyingi, ndio hao ambao serikali huona walifuata maji na haiwasaidii wajifunze wenyewe na kujihamisha wenyewe kutoka mabondeni
Ni muda sasa kila mtu kujipigania mwenyewe kujiweka katika mazingira bora.Hii umeongea point kabisa....
si serikali wala wananchi hatuna maandalizi typo na season za siasa
Yakikukuta utapata cha kufanya mkuu!Sa itakuwaje na ndo nimelipa Kodi Juzi hapa bonde la nkwajuni
Nipo mkwajuni sjui itakuaje 😂Mkuu tafuta mtu chukua kodi hama.
Mtu anajiokotea Samaki kirahisi🤣🤣🤣🤣Hayo mafuriko yaje tu, maana huja na chakula kingi, samaki wanakuwa ni wengi kila nyumba wanakula samaki. Nyumba zinazozingirwa na mafuriko hugeuka vizimba vya samaki. Wavuvi hujisikia vibaya sana wanapoona kila mtu anajiokotea samaki kirahisi
Mtakufa naye😂Kama mpenzi anaweza kupiga mbizi sawa Mkuu.