Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

Kuna watu ni wapumbavu sana, anaona maji yanazidi kumsogelea hakimbii, mwisho maji yanaifikia nyumba yake na kuigharikisha, anapata hasara
 
Kuna watu walizikimbia nyumba zao mabondeni wakati wa mafuriko, wengine waling'oa mabati na kuzibomoa wenyewe wakahama bila kupenda. Wale walioziacha wamerudi kwenye magofu yao baada ya mabonde kukauka. Sasa tunaambiwa el nino yaja tena, sijui hawa waliorudi mabondeni kama watasaidiwa ikiwa maji yatajaa kwenye nyumba zao
 
Vingunguti na kigogo hiyo.
 
UKiwa na pesa za kutosha hata ikiwa bondeni unajaza kifusi cha kutosha na unajenga vizuri tu.mikocheni yote ilikuwa bonde la kulima mipunga lakini kwa sasa ukifika huwezi jua kama zamani kulikuwa na bonde.
 
Ukiwa na PESA Mkuu.

Kama unaungaunga hautoboi mikocheni kumependeza sana .
 
Mm nasema ni kuweka stock ya chakula hasa mchele , mahindi , maharage hadi mwisho wa 2027
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…