Toka mjini twende katavi tukalime mpunga.Ewaaah Leo sis, umetisha sku hz msimbazi hamna mafuriko km ya miaka nyuma
Ambapo utasikia nyumba mia mbili zazingirwa na maji manzese kigogo na tandale π€£π
Ngoja nitafutr mtaji dadake tukasake maisha mjini hapa nothing new!Toka mjini twende katavi tukalime mpunga.
Ngoja nitafutr mtaji dadake tukasake maisha mjini hapa nothing new!
Kila uki scroll ni siasa tuu mpk kero wangechuja hata ziwe chacheHumu ndani leo pamepooza leo yaani siasa kila kona.
Natamani mtu aanzishe uzi hata wa vita basi
HakikaNa kapesa kidogo mkuu kamboga mboga.
Eeeh...na ni asilimia kubwaWazee wakutoka ndiyo tule.
YessirOf course maji yatakuonesha wapi sahihi wapi sio.