Mnao ishi mabondeni na vichochoroni kuweni makini pia

Hawa watu walivyojaa ujinga unadhani watakusikia.
Wanasema Gwajima atawavusha kama alivyowavusha kwenye COVID-19 huku mkuu wa nchi na safi yake karibu yote ilifyekwa kwa COVID-19.
Huyu Gwajima boy muhuni sana , juzi kasema ataivusha tena nchi kama alivyowavusha kwenye COVID-19 😭😭😭😭
 
Muda utaongea mkuu.
 

View: https://vt.tiktok.com/ZSq2ay9yC/
 
aise njoo utoe code, jinsi ya kufunga kile kitanda chenye hadhi ya nyota tano itasaidia pia!
 
Vipi inatosha?
Mkuu ukiachana na hilo swali lako ambalo naamini hawezi kukujibu.

Naomba umkumbushe kuwa akizama kwenye mabonde huko serikali mpaka ije impate atakuwa kashafariki kitambo sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…