Mnaoamini Mungu, kwenye vichwa vyenu mna "imagine" sawa jinsi alivyo?

General Mangi

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
15,303
Reaction score
23,064
Nyie mnao amini uwepo wa Mungu, Wakristo na waislam, na madhehebu mengine Je kila mmoja wenu mnamaanisha Mungu Mmoja?

Yani unavyomfikiria wewe na mwezio ni hivyohivyo? Je unauhakika Kiongozi wako wa dini, Rafiki yako, na yeyote yule Jinsi anavyomuwaza huyu Mungu alivyo ndivyo unavyomuwaza wewe? Yani picha uliyojijengea kichwani mwako Jinsi alivyo, tabia zake ndivyo wenzio wanavyomuwaza hivyo? Kama mnatofautiana hatima yake nini?

Je huyu Mungu wenu alivyokusudia mumuwaze alivyo ndivyo ilivyo?
Je mpaka sasa unauhakika na dini yako ndio sahihi kumweleza huyo Mungu? Au tangu upokee kutoka kwa wazazi wako dini hiyo ndio umejidhihirisha wazi kwamba upo sahihi?

Je umejifunza dini nyingine kujihakikishia upo sahihi mpaka sasa kwamba Mungu anaikubali dini yako? na upo sahihi?

Je Ni biblia na quran ndio references kuthibitisha Mungu yupo, na jinsi alivyo?
Unajidhihirishaje kwamba vitabu hivyo si maandiko ya watu kwa utashi wao?

Je Maswali yangu hapo Unaweza kuyajibu????
 
Kwanza kwa fikra zako zilizokutuma kuleta huu uzi je wajua Mungu ni nini au ni nani? Ili tukujibu kutokana na uwezo wa akili yako tusije kukupoteza kabisa. Pili kutokana na bandiko lako hili inaonyesha wewe huamini kuwa kuna Mungu, sasa kitu usichokiamini cha kukera nini? Si uwaache wenye imani zao waamini wanacho kiamini?

Njia nzuri ya kufanya mtu abadili anacho kiamni ili afate unacho kiamini ni kukizungumza kile unacho kiamini na jinsi gani kilivyo kusaidia na faida yake kwako kisha mtu mwenyewe alinganishe kile anacho kiamini na kile ukiaminicho wewe kisha kwa dhamira yake achague kukifata au kutokifata kile uaminicho wewe.

Ukimwambia mtu ubaya wa kile anachokiamini ili aamini kile unacho amini, akija huko akakuta mapungufu katika hicho unacho amini utakuwa umempoteza kabisa.

Hakuna imani isiyo na mapungufu kwamaana sisi binadamu pia tunamapungufu, kama jinsi tunavyo fundisha namna ya kuishi na mapungufu yetu ndivyo tunavyo fundishwa kukabiliana na mapungufu katika imani zetu.

Si kosa kujifunza imani nyingine, lakini hii haitakiwi kwa wale walio dhaifu kiimani kwamaana badala ya kuwajenga inaweza kuwapotosha kabisa.
 
Kwanza kwa fikra zako zilizokutuma kuleta huu uzi je wajua Mungu ni nini au ni nani? Ili tukujibu kutokana na uwezo wa akili yako tusije kukupoteza kabisa.
Mungu ni nini au ni nani?

Pili kutokana na bandiko lako hili inaonyesha wewe huamini kuwa kuna Mungu, sasa kitu usichokiamini cha kukera nini? Si uwaache wenye imani zao waamini wanacho kiamini?
Mimi sijasema usiamini, nimeuliza unachokiamini?
Je kuuliza ni kosa?

Njia nzuri ya kufanya mtu abadili anacho kiamni ili afate unacho kiamini ni kukizungumza kile unacho kiamini na jinsi gani kilivyo kusaidia na faida yake kwako kisha mtu mwenyewe alinganishe kile anacho kiamini na kile ukiaminicho wewe kisha kwa dhamira yake achague kukifata au kutokifata kile uaminicho wewe.
Mimi siamini chochote kuhusu Mungu, Na wala sishawishi watu wasiamini Mungu!!
Nilikuwa nataka kupata ufafanuzi wa huyo Mungu, Je jinsi unavyomfikiria ndivyo mwezio anavyomuwaza?
Mnahakika nyote mnaomuamini huyo Mungu mna imagine sawa kichwani? Yani wote mnamlenga huyo mungu kisawasawa?

Ukimwambia mtu ubaya wa kile anachokiamini ili aamini kile unacho amini, akija huko akakuta mapungufu katika hicho unacho amini utakuwa umempoteza kabisa.

Hakuna imani isiyo na mapungufu kwamaana sisi binadamu pia tunamapungufu, kama jinsi tunavyo fundisha namna ya kuishi na mapungufu yetu ndivyo tunavyo fundishwa kukabiliana na mapungufu katika imani zetu.

Je Mungu wako au wenu anajua imani zenu zina mapungufu? Je atawahukumu vipi kutokana na imani zenu?
Kama mnajua imani yako inamapungufu, nini mustakabali wake huko kwa Mungu wako?

Si kosa kujifunza imani nyingine, lakini hii haitakiwi kwa wale walio dhaifu kiimani kwamaana badala ya kuwajenga inaweza kuwapotosha kabisa.
Nini maana ya kupotosha?
Je unajidhihirishaje Imani yako sio potofu?
Kwanini isiwe wewe umepotoka?
 
Nadhani sihitaji kukupa tafsiri ya neno potofu kwamaana kwa umri wako nadhani wajua maana, kuhusu imani yangu ninauhakika sio potofu ila inamapungufu, kuhusu kujiridhisha sijui kujidhihirisha hilo ni la kiimani zaidi na kwa kuwa imani yangu haikuhusu hilo huna haja ya kulijua, kuhusu mimi kupotoka au la nishakujibu, sijapotoka kwamaana imani yangu sio potofu.
 
Nyie mnao amini uwepo wa Mungu, Wakristo na waislam, na madhehebu mengine Je kila mmoja wenu mnamaanisha Mungu Mmoja?

Yani unavyomfikiria wewe na mwezio ni hivyohivyo? Je unauhakika Kiongozi wako wa dini, Rafiki yako, na yeyote yule Jinsi anavyomuwaza huyu Mungu alivyo ndivyo unavyomuwaza wewe? Yani picha uliyojijengea kichwani mwako Jinsi alivyo, tabia zake ndivyo wenzio wanavyomuwaza hivyo? Kama mnatofautiana hatima yake nini?

Je huyu Mungu wenu alivyokusudia mumuwaze alivyo ndivyo ilivyo?
Je mpaka sasa unauhakika na dini yako ndio sahihi kumweleza huyo Mungu? Au tangu upokee kutoka kwa wazazi wako dini hiyo ndio umejidhihirisha wazi kwamba upo sahihi?

Je umejifunza dini nyingine kujihakikishia upo sahihi mpaka sasa kwamba Mungu anaikubali dini yako? na upo sahihi?

Je Ni biblia na quran ndio references kuthibitisha Mungu yupo, na jinsi alivyo?
Unajidhihirishaje kwamba vitabu hivyo si maandiko ya watu kwa utashi wao?

Je Maswali yangu hapo Unaweza kuyajibu????
Uthibitisho wa kwanza kwamba Mungu yupo ni uwepo wako na uwezo wa kuhoji kwamba Mungu yupo au la. fikiria nguo iulize kama wapo washonaji au gari ya NISSAN iulize kama kampuni ya NISSAN ipo au la. Unatakiwa kijiangalia mwenyewe: ulitoka wapi, unaweza kujijua mwenyewe asilimia 100, unaweza tatua matatizo yote yanayokuja mbele zako?

Tafakari na mimi kitu kidogo: ulishawahi jiuliza kuhusu vyakula unavyokula, vilitoka wapi, kwa nini ukivila havikupi shida. Turudi kwa gari; gari inaenda kwa mafuta au gas au umeme, gari iliyotengenezwa iende kwa mafuta haiwezi kwenda kwa umeme. inamaana aliyebunu na kutengeneza gari alifanya hivyo akijua itaenda kwa kutumia nini tena bila shida.

Rafiki yangu na ndugu yangu kwako wewe ukila maharage ukashiba hushangai: nani alinibuni, akanitengeneza - haiyumkuni ndiye aliye buni na kutengeneza maharage. Sidhani kama UNAAMINI wewe na maharage mlikuja kwa bahati (chance) na kama ndivyo hiyo nayo ni DINI maana msingi wake ni imani tuu, nini tofauti na dini basi?
 
Binafsi naamini Mungu yupo, nami ni Mkristo Mkatoliki, Naamini hivyo kutokana na mambo mengi ambayo amenitendea na anazidi kunitendea. Kuhusu Imani zingine jinsi wanavyo imagine nadhani tunatofautiana, Mathalani Waislamu Wanaamini uwepo wa Mungu mmoja wakati Wakristo tunaamini ktk UTATU MTAKATIFU.

Ndani ya Kanisa langu RC Naamini sote tuna mtazamo mmoja, japo siwezi Kuwa na uhakika wa asilimia mia.
 
Nadhani sihitaji kukupa tafsiri ya neno potofu kwamaana kwa umri wako nadhani wajua maana, kuhusu imani yangu ninauhakika sio potofu ila inamapungufu, kuhusu kujiridhisha sijui kujidhihirisha hilo ni la kiimani zaidi na kwa kuwa imani yangu haikuhusu hilo huna haja ya kulijua, kuhusu mimi kupotoka au la nishakujibu, sijapotoka kwamaana imani yangu sio potofu.
Kama unafahamu imani yako ina mapungufu, unaweza kuyabaini?? Mapungufu hayo yanatatulika? Kama ndio kwann hayajatatulika?? Kama hapana tupe mantiki ya kuamini imani yenye mapungufu na utuambie ni kwa vipi imani yenye mapungufu itakufikisha katika ukamilifu wa Mungu kama mnavyompambanua??
 
Kuna mambo ya kufanyia mzaha lakini si Mungu. Naomba mwenye enzi Mungu akurehemu. Mungu si wa size yetu, yuko kwenye level nyingine, malumbano kuhusu Mungu yupo au hayupo sidhani kama ni sahii sana. Wote tutakufa alafu tutajua kama yupo au hayupo, usiwe na haraka.
 
Nyie mnao amini uwepo wa Mungu, Wakristo na waislam, na madhehebu mengine Je kila mmoja wenu mnamaanisha Mungu Mmoja?

Yani unavyomfikiria wewe na mwezio ni hivyohivyo? Je unauhakika Kiongozi wako wa dini, Rafiki yako, na yeyote yule Jinsi anavyomuwaza huyu Mungu alivyo ndivyo unavyomuwaza wewe? Yani picha uliyojijengea kichwani mwako Jinsi alivyo, tabia zake ndivyo wenzio wanavyomuwaza hivyo? Kama mnatofautiana hatima yake nini?

Je huyu Mungu wenu alivyokusudia mumuwaze alivyo ndivyo ilivyo?
Je mpaka sasa unauhakika na dini yako ndio sahihi kumweleza huyo Mungu? Au tangu upokee kutoka kwa wazazi wako dini hiyo ndio umejidhihirisha wazi kwamba upo sahihi?

Je umejifunza dini nyingine kujihakikishia upo sahihi mpaka sasa kwamba Mungu anaikubali dini yako? na upo sahihi?

Je Ni biblia na quran ndio references kuthibitisha Mungu yupo, na jinsi alivyo?
Unajidhihirishaje kwamba vitabu hivyo si maandiko ya watu kwa utashi wao?

Je Maswali yangu hapo Unaweza kuyajibu????
Asante
 
Sijui kwanini watu mnaodai hamuamini mungu mnakuwa kama mna stress hivi,sasa kitu ambacho watu hawajawahi kukiona unauliza kama wote wanakifikiria sawa?!!
 
Nyie mnao amini uwepo wa Mungu, Wakristo na waislam, na madhehebu mengine Je kila mmoja wenu mnamaanisha Mungu Mmoja?

Yani unavyomfikiria wewe na mwezio ni hivyohivyo? Je unauhakika Kiongozi wako wa dini, Rafiki yako, na yeyote yule Jinsi anavyomuwaza huyu Mungu alivyo ndivyo unavyomuwaza wewe? Yani picha uliyojijengea kichwani mwako Jinsi alivyo, tabia zake ndivyo wenzio wanavyomuwaza hivyo? Kama mnatofautiana hatima yake nini?

Je huyu Mungu wenu alivyokusudia mumuwaze alivyo ndivyo ilivyo?
Je mpaka sasa unauhakika na dini yako ndio sahihi kumweleza huyo Mungu? Au tangu upokee kutoka kwa wazazi wako dini hiyo ndio umejidhihirisha wazi kwamba upo sahihi?

Je umejifunza dini nyingine kujihakikishia upo sahihi mpaka sasa kwamba Mungu anaikubali dini yako? na upo sahihi?

Je Ni biblia na quran ndio references kuthibitisha Mungu yupo, na jinsi alivyo?
Unajidhihirishaje kwamba vitabu hivyo si maandiko ya watu kwa utashi wao?

Je Maswali yangu hapo Unaweza kuyajibu????
5adb806635b44afffe9d7d8c984dc554.jpg
 
Kwanza kwa fikra zako zilizokutuma kuleta huu uzi je wajua Mungu ni nini au ni nani? Ili tukujibu kutokana na uwezo wa akili yako tusije kukupoteza kabisa. Pili kutokana na bandiko lako hili inaonyesha wewe huamini kuwa kuna Mungu, sasa kitu usichokiamini cha kukera nini? Si uwaache wenye imani zao waamini wanacho kiamini?

Njia nzuri ya kufanya mtu abadili anacho kiamni ili afate unacho kiamini ni kukizungumza kile unacho kiamini na jinsi gani kilivyo kusaidia na faida yake kwako kisha mtu mwenyewe alinganishe kile anacho kiamini na kile ukiaminicho wewe kisha kwa dhamira yake achague kukifata au kutokifata kile uaminicho wewe.

Ukimwambia mtu ubaya wa kile anachokiamini ili aamini kile unacho amini, akija huko akakuta mapungufu katika hicho unacho amini utakuwa umempoteza kabisa.

Hakuna imani isiyo na mapungufu kwamaana sisi binadamu pia tunamapungufu, kama jinsi tunavyo fundisha namna ya kuishi na mapungufu yetu ndivyo tunavyo fundishwa kukabiliana na mapungufu katika imani zetu.

Si kosa kujifunza imani nyingine, lakini hii haitakiwi kwa wale walio dhaifu kiimani kwamaana badala ya kuwajenga inaweza kuwapotosha kabisa.
Hiyo aya ya mwisho umenichanganya kabisa bosi, kwamba kama una imani dhaifu hutakiwi kujifunza imani zingine??
sasa si inatakiwa ujifunze na nyingine ili uijue ipi ina nafuu maana umesema haipo iliyokamilka.
 
Uthibitisho wa kwanza kwamba Mungu yupo ni uwepo wako na uwezo wa kuhoji kwamba Mungu yupo au la. fikiria nguo iulize kama wapo washonaji au gari ya NISSAN iulize kama kampuni ya NISSAN ipo au la. Unatakiwa kijiangalia mwenyewe: ulitoka wapi, unaweza kujijua mwenyewe asilimia 100, unaweza tatua matatizo yote yanayokuja mbele zako?

Tafakari na mimi kitu kidogo: ulishawahi jiuliza kuhusu vyakula unavyokula, vilitoka wapi, kwa nini ukivila havikupi shida. Turudi kwa gari; gari inaenda kwa mafuta au gas au umeme, gari iliyotengenezwa iende kwa mafuta haiwezi kwenda kwa umeme. inamaana aliyebunu na kutengeneza gari alifanya hivyo akijua itaenda kwa kutumia nini tena bila shida.

Rafiki yangu na ndugu yangu kwako wewe ukila maharage ukashiba hushangai: nani alinibuni, akanitengeneza - haiyumkuni ndiye aliye buni na kutengeneza maharage. Sidhani kama UNAAMINI wewe na maharage mlikuja kwa bahati (chance) na kama ndivyo hiyo nayo ni DINI maana msingi wake ni imani tuu, nini tofauti na dini basi?
Usikimbilie majibu rahisi hivi mkuu, Eti kwa sababu bado uthibitisho haujapatikana kuhusu kitu flani basi mungu kafanya, huu ni uvivu wa hali ya juu ndugu.
 
Kama unafahamu imani yako ina mapungufu, unaweza kuyabaini?? Mapungufu hayo yanatatulika? Kama ndio kwann hayajatatulika?? Kama hapana tupe mantiki ya kuamini imani yenye mapungufu na utuambie ni kwa vipi imani yenye mapungufu itakufikisha katika ukamilifu wa Mungu kama mnavyompambanua??
Hii ngumu kumeza!
 
Kuna mambo ya kufanyia mzaha lakini si Mungu. Naomba mwenye enzi Mungu akurehemu. Mungu si wa size yetu, yuko kwenye level nyingine, malumbano kuhusu Mungu yupo au hayupo sidhani kama ni sahii sana. Wote tutakufa alafu tutajua kama yupo au hayupo, usiwe na haraka.
Tukijua wakati tumeshakufa kuna faida gani sasa? hasa kwa walio hai
 
Back
Top Bottom