General Mangi
JF-Expert Member
- Dec 21, 2013
- 15,303
- 23,064
- Thread starter
- #41
Huwezi kushindwa kueleza, hata moja?Ni mengi sana kiasi cha kushindwa kuelezea.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huwezi kushindwa kueleza, hata moja?Ni mengi sana kiasi cha kushindwa kuelezea.
Umejuaje naogopa? Unajua maana ya kuogopa?Usiogope, umeyataka mwenyewe.
Hapana tulikuwa hatufikirii jibu moja.Sasa mkuu kama unaamini kuwa Mungu na shetani ni fikra zilizotengenezwa unatakaje kujua kuwa tunao amini uwezo wa Mungu jinsi tunavyo mfikiria Mungu wote tunajenga picha moja?
Ulivyo kuwa mdogo uliwahi kucheza mchezo uliokuwa unahitaji kufikiria namba ukiwa na wenzako Kisha unaambiwa 'izidishe' 'itoe' 'ijumlishe' na namba fulani Kisha unapewa jibu?
Kama jibu ndiyo je wote mlikuwa mnafikiria jibu moja?
Hatujengi picha katika vichwa vyetu kuhusu Mungu alivyoHapana tulikuwa hatufikirii jibu moja.
Je nanyi mnaoamini Mungu mnamajibu tofauti vichwani mwenu kuhusu yeye?
Wewe au wote mnaoamini Mungu?Hatujengi picha katika vichwa vyetu kuhusu Mungu alivyo
Hapana mkuu.. Jamaa sio mpagani..! Hili kosa kubwa sana kumuita mpagani. Mpagani ni mtu yeyote asiyeamini miungu ya mainstream religion (abrahamic religions to be precise) wale wanaoabudu nature and other things ndo tunaweza waita wapagani na kiujumla dini hizi huitwa paganism.Wee mpagani umekula Maharage ya wapi?
Hebu labda eleza unachotaka kukieleza baada ya hayo maswali pengine unaweza kueleweka.Kama hamjawahi kumwona na hamjui mfanano wake, vichwa vyenu v8namuwaza sawa? yeye anajua mnatofautiana kumuwaza?
Si vibaya kusema 'wote'Wewe au wote mnaoamini Mungu?
Si vibaya kusema 'wote'Wewe au wote mnaoamini Mungu?
Nadhani katika maisha yako umeshawahi kutishwa, kweli hayo maneno hapo ni kitisho kwako?Mbona unapenda kunitisha?
Unajua km Mungu yupo hupaswi kunitisha, kwani mwisho wa siku si wewe wala mimi tutakufa, tena waweza tangulia ww
Unauhakika? thibitishaSi vibaya kusema 'wote'
Ufafanuzi kidogo:-Kama unafahamu imani yako ina mapungufu, unaweza kuyabaini?? Mapungufu hayo yanatatulika? Kama ndio kwann hayajatatulika?? Kama hapana tupe mantiki ya kuamini imani yenye mapungufu na utuambie ni kwa vipi imani yenye mapungufu itakufikisha katika ukamilifu wa Mungu kama mnavyompambanua??
Kuna siku atamini mungu yupo na anaweza,siku inakuja atakubali tuuKwanza kwa fikra zako zilizokutuma kuleta huu uzi je wajua Mungu ni nini au ni nani? Ili tukujibu kutokana na uwezo wa akili yako tusije kukupoteza kabisa. Pili kutokana na bandiko lako hili inaonyesha wewe huamini kuwa kuna Mungu, sasa kitu usichokiamini cha kukera nini? Si uwaache wenye imani zao waamini wanacho kiamini?
Njia nzuri ya kufanya mtu abadili anacho kiamni ili afate unacho kiamini ni kukizungumza kile unacho kiamini na jinsi gani kilivyo kusaidia na faida yake kwako kisha mtu mwenyewe alinganishe kile anacho kiamini na kile ukiaminicho wewe kisha kwa dhamira yake achague kukifata au kutokifata kile uaminicho wewe.
Ukimwambia mtu ubaya wa kile anachokiamini ili aamini kile unacho amini, akija huko akakuta mapungufu katika hicho unacho amini utakuwa umempoteza kabisa.
Hakuna imani isiyo na mapungufu kwamaana sisi binadamu pia tunamapungufu, kama jinsi tunavyo fundisha namna ya kuishi na mapungufu yetu ndivyo tunavyo fundishwa kukabiliana na mapungufu katika imani zetu.
Si kosa kujifunza imani nyingine, lakini hii haitakiwi kwa wale walio dhaifu kiimani kwamaana badala ya kuwajenga inaweza kuwapotosha kabisa.
Je ulitaka nisiwe na uhakika?Unauhakika? thibitisha
Kuna mambo ya kufanyia mzaha lakini si Mungu. Naomba mwenye enzi Mungu akurehemu. Mungu si wa size yetu, yuko kwenye level nyingine, malumbano kuhusu Mungu yupo au hayupo sidhani kama ni sahii sana. Wote tutakufa alafu tutajua kama yupo au hayupo, usiwe na haraka.
Ila,jambo la kishangaza kabisa ni urahisi wetu wa kufanya mzaha na maisha ya mtu. Hapa ndipo dhana na ufahamu kuhusu Mungu unapotumiKa vibaya kuliko kawaida. Ndugu, tafakari na tumia vizuri hali ya kumjua Mungu.Kuna mambo ya kufanyia mzaha lakini si Mungu. Naomba mwenye enzi Mungu akurehemu. Mungu si wa size yetu, yuko kwenye level nyingine, malumbano kuhusu Mungu yupo au hayupo sidhani kama ni sahii sana. Wote tutakufa alafu tutajua kama yupo au hayupo, usiwe na haraka.