Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

Status
Not open for further replies.
Yaan wewe umewapitia halafu unakuja na conclusion gani izo, hebu kaa kimya tuache na sisi tuwapitie halafu ndo tutaamua
 
Kuna zile black flani iv zina fizi nyeusi zikicheka, macho meupe shingo ya kukatika na kipua kirefu , nywele mpka mgongoni ni hatari sana.
Hiyo ndiyo inalea mimba kwasasa baada ya kubwagana na mnyaturu wangu

min -me tafuta hizo pisi yaani hakikisha unaizalisha man.
 
Ni kweli usiku hawatoki nje japo nyumba zao nyingi sii master ila huo utamaduni wa kukojoa kwenye mabeseni upo
Kote nitakupinga lakini hapa kwenye kukojoa ndani ni kweli maana huyu wangu ananiambia nimsindikize chooni.

Imagine hapo choo kiko ndani ya nyumba ni kupita tu koridoni aende,,

Mara aje na Idea yake eti kama hutaki kuamka kunipeleka chooni bora nitafute kisado niwe nakojolea daaahh!!

Namwambia nakupiga nakuzika humu chumbani siku hiyo hapo ndio anaogopa
Yaani tuwe na vyoo viwili ndani?? Haiwezekani..

Note,,, Ni waoga kuliko uoga unaoujua yaani akimuona mdudu hata mende tu anaweza kurusha simu kwenye uji kwa uoga au akipandiliwa na mdudu kifuani, anavua nguo zote hata kama ni stendi wako hivyo tu...
 
Kuna zile black flani iv zina fizi nyeusi zikicheka, macho meupe shingo ya kukatika na kipua kirefu , nywele mpka mgongoni ni hatari sana.
Hapo kwenye fizi nyeusi hapo kazia hapo hapo mkuu usiombe awe hivyo Halafu awe na mwanya au dimpos ,🙌🙌
 
Kuna Jamaa ilimkuta hii Hao kweli kwenye tabia ni kisanga
Mbona mi imenitokea kwa mnyaturu na nimekubali tu..
Na bado nimebeba tutsi girl,, Get a life Nigga and choose the best for your enjoyment bro..
Tunahaso sana kuitafuta pesa man..
 
Katika wanawake ambao sijawahi kuwaelewa kabisa ni watutsi.

Haya uliyoyaorodhesha nilishawahi kuyasikia mapema toka kwa watu wazima waliyokula chumvi nyingi kuhusu hiyo jamii.
Yeah ni kimeo kweli sio poa na Hilo lipo mpaka Kwa ndugu zao wa kiume ni wabinafsi mnooo , Nenda Burundi Tu hapo utaona Jinsi makabila Yao wanavyo baguana Kati ya mtusi na muhutu ni Shida kubwa mnooo,
 
Mbona mi imenitokea kwa mnyaturu na nimekubali tu..
Na bado nimebeba tutsi girl,, Get a life Nigga and choose the best for your enjoyment bro..
Tunahaso sana kuitafuta pesa man..
Masuala ya pesa wala haya husiani na kuto gongewa in my life time Nimeona wanawake wengi wakiwa saliti watu pasipo kujali status zao , Yaani Suala la usaliti huwaga halina standard, ila Moja ya tafsiri chanya ktk Maisha ni kupunguza changamoto na kuishi katika nafuu ya furaha so kama mwenza wako atakuwa hakupatii furaha na badala yake anakuumiza tena Sana basi mantiki ya yeye kuwa mpenzi wako haipo

Maana ya mapenzi ni Upendo furaha Amani uaminifu umoja mshikamano kuhurumiana ,--- hayo yakikosekana basi mapenzi /Ndoa Hiyo ni toxic kwenu mawili kama hamto ishia kuuwana basi jiandae kufilisika kuwa chizi fresh au kuishi na depression in your whole life time , Au labda Ukubali kuwa zoba
 
Mkuu nataka information zaidi ya Hao wagunya Wana patikana tanga sehemu gani au Hao wasambaa wa kilindi nataka nikajionee mama ya nchi kabla sijafa 🤣🤣🤣

Vipi kuhusu -- Tabia zao rate Yao ya maadili ikoje !? Au na wao ndio sio wachoyo!?
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…