The Eric
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 6,446
- 10,976
Nami niliwai ishi na mnyamwezi miaka miwili hana shida ila kuna vitabia sikuvipenda.Nimewahi kuishi nao nawajua sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nami niliwai ishi na mnyamwezi miaka miwili hana shida ila kuna vitabia sikuvipenda.Nimewahi kuishi nao nawajua sana
Yaani ile "shadr at El munya"Sijaelewa mkuu
Nimemiss hayo maeneoHuko karagwe kuna kijiji k8naitwa nyaishozi ksribu na kimisi,ongeza na bushangaro,murongo,bugene,rwambaizi,kishao,kaisho,watutsi wanejazana tu huko
Sasa unaenda wapi? I 😁😁😁
Na huu ukauzu wako kuna muda unanipiga usoni we dogo..Unaongea na mimi?
Hiyo ndiyo inalea mimba kwasasa baada ya kubwagana na mnyaturu wanguKuna zile black flani iv zina fizi nyeusi zikicheka, macho meupe shingo ya kukatika na kipua kirefu , nywele mpka mgongoni ni hatari sana.
NgaraChimbo lao hasa ni wapi mkuu?
Kote nitakupinga lakini hapa kwenye kukojoa ndani ni kweli maana huyu wangu ananiambia nimsindikize chooni.Ni kweli usiku hawatoki nje japo nyumba zao nyingi sii master ila huo utamaduni wa kukojoa kwenye mabeseni upo
🤣🤣🤣Wanawake wenyewe tunaopigwa marufuku sasa😁😁😁😁😁
View attachment 3081712
Hapo kwenye fizi nyeusi hapo kazia hapo hapo mkuu usiombe awe hivyo Halafu awe na mwanya au dimpos ,🙌🙌Kuna zile black flani iv zina fizi nyeusi zikicheka, macho meupe shingo ya kukatika na kipua kirefu , nywele mpka mgongoni ni hatari sana.
Kuna Jamaa ilimkuta hii Hao kweli kwenye tabia ni kisangaYaani usiumwe wala kufulia atakukimbia,na anakubambikia watoto
🤣🤣🤣Aisee nina mtoto wa kinyarwanda naona anaenda kuzamisha ndoa yangu wallah.
Mbona mi imenitokea kwa mnyaturu na nimekubali tu..Kuna Jamaa ilimkuta hii Hao kweli kwenye tabia ni kisanga
Yeah ni kimeo kweli sio poa na Hilo lipo mpaka Kwa ndugu zao wa kiume ni wabinafsi mnooo , Nenda Burundi Tu hapo utaona Jinsi makabila Yao wanavyo baguana Kati ya mtusi na muhutu ni Shida kubwa mnooo,Katika wanawake ambao sijawahi kuwaelewa kabisa ni watutsi.
Haya uliyoyaorodhesha nilishawahi kuyasikia mapema toka kwa watu wazima waliyokula chumvi nyingi kuhusu hiyo jamii.
Masuala ya pesa wala haya husiani na kuto gongewa in my life time Nimeona wanawake wengi wakiwa saliti watu pasipo kujali status zao , Yaani Suala la usaliti huwaga halina standard, ila Moja ya tafsiri chanya ktk Maisha ni kupunguza changamoto na kuishi katika nafuu ya furaha so kama mwenza wako atakuwa hakupatii furaha na badala yake anakuumiza tena Sana basi mantiki ya yeye kuwa mpenzi wako haipoMbona mi imenitokea kwa mnyaturu na nimekubali tu..
Na bado nimebeba tutsi girl,, Get a life Nigga and choose the best for your enjoyment bro..
Tunahaso sana kuitafuta pesa man..
Ni kweli zipo 🤣🤣🤣Kumbe kuna ya baridi nayamoto, wadau mpo speed sana hehehe
Wana squrting 🤣Kuwa dawasco ina maanisha nini
Sheesh !! 🤣Wana utamaduni wa kukojoa kwenye kopo hata kama chumba ni master.
Mkuu nataka information zaidi ya Hao wagunya Wana patikana tanga sehemu gani au Hao wasambaa wa kilindi nataka nikajionee mama ya nchi kabla sijafa 🤣🤣🤣Hao watutsi wanakuzwa tu ila hata mimi nimekutana nao sio pisi kiasi hicho.
Watutsi ninawapa wairaqwu wa Manyara ama nawapa wagunya wa Tanga au nawapa wanyaturu wanapotea kabisa.
Au kabila la mwisho nalowapa wasambaa wakilindi.
Sana sana walichobarikiwa urefu tu nothing else kwa hao watutsi.