Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

Mnaobabaika na wanawake wa Kitutsi kuna kitu hamkijui, wale sio wife material

Status
Not open for further replies.
Kwa huu utafiti wako nakupa 99% manake nami nimetest toka kahama, masumbwe, runzewe a.k.a shamba la nyege, ushirombo, biharamulo, muleba, bukoba mpaka mutukula, aisee hawa viumbe ni malaya waliotukuka, umalaya kwao ni sifa. Ukioa mtusi basi jua una shamba la bibi kila mjukuu anajichumia
Huu ugoro tumesikia sana, kuanzia wahaya mpaka wapare, sasa nani ambaye sio malaya
 
Wanawake wenyewe tunaopigwa marufuku sasa😁😁😁😁😁
View attachment 3081712
Wanakwambia ni wa kawaida wakati hizo pisi ikishuka moja tu yani moja tu miji yote hiyo inapoteana wanakimbia nyumba zao wanakesha wamepiga magoti, zile ni pisi bhana zimesimama maua yao tuwape, hao warangi sijui wairaq wakajipange upya
 
Halafu kagera ,haswa karagwe kwa wanyambo kuna aina ya hizo au labda nilitazama vibaya 🤫
 
Miji aliyotaja yote inazo pisi za kitutsi kuanzia zile pisi za kawaida mpaka zile tishio la amani kote zipo na zinajulikana, na kila miaka inayo kumbukumbu za waliotikisa,
Kuna zile black flani iv zina fizi nyeusi zikicheka, meno meupe shingo ya kukatika na kipua kirefu , nywele mpka mgongoni ni hatari sana.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom