mdukuzi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 20,925
- 51,688
- Thread starter
- #41
Uzuri wa nje tu,mkuu ila sio wife matetial,na sio watamu,ukipiga mara moja hutamani tenaWanakwambia ni wa kawaida wakati hizo pisi ikishuka moja tu yani moja tu miji yote hiyo inapoteana wanakimbia nyumba zao wanakesha wamepiga magoti, zile ni pisi bhana zimesimama maua yao tuwape, hao warangi sijui wairaq wakajipange upya