Mnaobeza mafanikio ya Awamu ya Sita, zungukeni Tanzania muone mafanikio ya Serikali ya Rais Samia katika utekelezaji wa miundombinu

Kila kitu na zama zake, Utandawazi wa awamu za Nyerere and the next haiwezi kuwa sawa na miaka hii , enzi za Nyerere kupata habari ilikuwa mpaka usikilize Radio Tanzania, lakini nikuhakikishie mafanikio ya Serikali yalikuwa yanaelezwa kwa Wananch kama ambavyo ipo sasa tofauti sasa ni technology imekuwa kubwa saana ndugu Nsibwene
 
Unataka wapongezwe wakati wanayoyafanya ni wajibu wao kwa sababu wanalipwa mishahara na posho mwa kodi zetu.

Hawapaswi kusifiwa wala kupongezwa kwasababu hawafanyi kwa hisani
 
Hii awamu ni ya hovyo... Nadhan kwasabab imekuja kwa bahat mbaya... 💩💩💩 matupu
 
Unataka wapongezwe wakati wanayoyafanya ni wajibu wao kwa sababu wanalipwa mishahara na posho mwa kodi zetu.

Hawapaswi kusifiwa wala kupongezwa kwasababu hawafanyi kwa hisak
Tanzania tuko huru kutoa maoni, mimi nimetumia uhuru wangu kutoa maoni yangu, nawe mbinguni umetumia uhuru wako kutoa maoni, lakini kwangu mimi sioni shida kama Serikali ikapongezwa pale inapofanya vizuri na tuikosoea pale inapofanya vibaya
 
Napenda kuzunguka ila sina nauli.Nisaidiye
 
Napenda kuzunguka ila sina nauli.Nisaidiye
@Nduna shujaa zunguka mtaani kwako hapo utapita barabara zilizoboreshwa, ukipita shule ya hapo mtaani utaona hakuna wanafunzi wanao somea nje, nenda Zahanati ya hapo kwenu utaona huduma nzuri zilikotolewa etc, huhitaji nauli
 
Tupe hela ya kuzunguka nchi nzima kwenye hiyo miradi, ili na sisi tuje tusifie kama ww.
Huna haja ya kuzunguka,nakupa Takwimu hapa hapa 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220817-170147.png
    52.9 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220817-174037.png
    89.4 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220817-165932.png
    140.1 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220816-202251.png
    144.1 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220815-163443.png
    93.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220816-203211.png
    87.3 KB · Views: 3
Mambo ya kusifiana yanafanywa sana na watu wenye ujamaa kichwani na yaliasisiwa na Nyerere..

Ndio maana utakuta zidumu fikra sahihi za Mwalimu,hakuna kumkosoa,mara waseme alikuwa anaota kumbe anaangalia tv na mambo mengine kama hayo..

Mwendazake akaja kuyaleta hayo mambo kiasi kwamba kwa Sasa inaonekana ndio utaratibu wa siasa mpya..

Waliokuwa wanamsifia Mwenzake sio tuu kwamba eti walijua kwamba anapenda sifa Bali ni ilikuwa maalumu kueneza propaganda na kumkweza ionekane hakuna kama huyo mithili ya Kiduku wa N.Korea.
 
Walamba asali at the routine praises..............................hakuna mradi mpya alioanzisha labda madarasa ya UVIKO ambayo hata hivyo mpaka sasa ndiyo yaliyopauka kama magofu
 
Huna haja ya kuzunguka,nakupa Takwimu hapa hapa 👇
These are illegitimate references that are neither tangible nor intangibly felt for the country's economy booming as it is currently suffering paralysis in growth for no apparent reasons. The excuse was at a time, the COVID-19 pandemic outbreak and subsequently, the Russia-Ukraine war which is an ambiguous hideout to justify the hardship the citizens are now experiencing, to say the least.
 
Walamba asali at the routine praises..............................hakuna mradi mpya alioanzisha labda madarasa ya UVIKO ambayo hata hivyo mpaka sasa ndiyo yaliyopauka kama magofu
Sio kweli mkuu, inaonekana hauko well informed, hivi hujaona shule mpya zinazojengwa? Majengo ya Utawala? Miradi ya barabara? Vituo vya Afya? Hospital? Please tuwe wakweli Intelligence Justice
 
Sasa kama hutaki kitu kilicho real Baki hivyo hivyo, tukutane 2025.
 
Walamba asali at the routine praises..............................hakuna mradi mpya alioanzisha labda madarasa ya UVIKO ambayo hata hivyo mpaka sasa ndiyo yaliyopauka kama magofu
Wewe ishia hivyo hivyo ila Kazi inaendelea 👇
 

Attachments

  • Screenshot_20220817-171225.png
    240.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220817-171606.png
    140.7 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220812-104856.png
    259.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220812-104841.png
    268.4 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220812-104925.png
    305.9 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220806-165454.png
    174.6 KB · Views: 4
  • Screenshot_20220806-140601.png
    234.3 KB · Views: 3
  • Screenshot_20220801-081753.png
    167.9 KB · Views: 4
Watawala wanaolazimisha kusifiwa kama dikteta Magufuli na huyu sub wake ni wale ambao hakuna chochote cha maana wanachofanya ila wanataka umma ione kwamba kumbe labda kuna walichofanya na ndio maana wanasifiwa.

Mimi sijawahi kuona kiongozi yeyote katika nchi yenye watu wanaojitambua akisifiwa kwa kujenga barabara, kuweka miundombinu ya maji au umeme kwa kutumia fedha za wananchi hao hao ila ktk nchi yenye wajinga wengi kama hii ndio kiongozi anasifiwa kwa mambo ya kijinga kama hayo.

Nchi kama Marekani wana miundombinu ya kisasa na za hali ya juu lakini bado rais anapigwa chini kwenye uchaguzi kama kukaa kwake madarakani hakuwezi kuboresha maisha ya wananchi wake.

Cha ajabu Tanzania watu wanaweza wakadanganywa na fly overs zilizoko Dar Es Salaam huku maeneo mengi ya nchi zaidi ya nusu ya raia wakiishi chini ya dola moja kwa siku. Very foolish.
 
Hakuna Rais aliyewahi kulazimisha kusifiwa, kazi wanazofanya ndizo watu wanapongeza, leo unaenjoy Uhuru wa kutoa maoni, watoto wako wanasomeshwa bure, huduma nzuri za Afaya etc
Ni nchi gani uliyoenda au kufuatilia ukaona watu hawapongezi au kukosa utekelezaji wa Ahadi walizotoa wakati wakiomba wapewe idhini ya kuwahudumia Wananchi?
Watu wanaposema utekelezaji wa Ilani yao haina maana wanawasifia bali wanaelezea kile walichoahidi kutekeleza wametekeleza kwa kiwango gani Imeloa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…