maina23
Member
- Jun 10, 2024
- 44
- 120
Niende kwenye hoja.
Nimekuwa busy kusubiri daraja jipya wiki 2 saaa. Kila saa naangalia Mfumo. Nilipanda mwaka 2021, Juni tarehe 1, kutoka E kwenda F.
Sasa nasubiri kwa hamu...sasa zaidi presha niliyonayo naona wanaodai wameshaona tofauti kwenye profile ya mfumo.
Je nyie watu sio watanzania? Mpo nchi gani..au utumishi inapandisha mdgo mdogo?