Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

Singida anashinda nothing is impossible because possible is something
 
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.

Imeisha hiyo.
Ngoja waje kukupa muongozo mkuu
 
Kwanza napenda kusema ya kuwa katika timu zitakazoshika kuanzia namba nane kushuka chini moja wapo ni singida big star hii timu haina muunganiko kabisa ,ni timu inayosaidiwa na promo tu hata ihefu ni wazuri kuliko singida big star.

Ushindi wa singida big star ni kufungwa goli tatu au nne na yanga
 
Hii mechi nayo wanakuana Mtu na mwanae kama ilivyokuwa jana Simba na Namungo. (Niliona mchezji wa Namungo kamchezea rafu mchezaji wa Simba kisha anamuomba radhi kwa kumkumbatia).

Hata leo si ajabu tutamuona Mwigulu akakaa kwenye Benchi la Yanga kama msaidizi wa Kocha Nabi badala ya Kaze aliepangiwa majukumu mengine.
 
Ungekuwa Mungu tungekuunga mkono wote humu , si wewe uliyesema Simba atashinda goli 3 derby iliyopita ?
Ukweli ni kuwa tujadili soka kitaalamu sio hizi ndoto za kila mtu anakwambia kaota Simba kashinda at the end Simba kadroo/kapigwa.

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.

Imeisha hiyo.
318C289C-AD2A-4946-AC55-D72BA0A2B5BD.jpeg
 
Back
Top Bottom