Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

Wacha tusubiri hili picha la kihindi.

Starring GSM na kubwa la maadaui Mwigulu.

Kubwa la maadui atakaza halaf dk za mwisho atapigwa teke la ugoko na kufa papo hapo.
 
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.

Imeisha hiyo.
kweli,hawa ni tawi la Yanga,make leo Singida wamekuwa mdebwedo kabisa
 
Kuna kipya hapo..wameenda kufanyiwa shopping
 
Attachments

  • ce1f7fc8027740d78d873b19168cab41.jpg
    ce1f7fc8027740d78d873b19168cab41.jpg
    33.9 KB · Views: 2
Kwanza napenda kusema ya kuwa katika timu zitakazoshika kuanzia namba nane kushuka chini moja wapo ni singida big star hii timu haina muunganiko kabisa ,ni timu inayosaidiwa na promo tu hata ihefu ni wazuri kuliko singida big star.

Ushindi wa singida big star ni kufungwa goli tatu au nne na yanga
Unabii umetimia
 
Hii ilikuwa kabla ya mechi au

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom