Mnaodhani leo Singida Big Stars FC ataifunga Yanga SC kwa Mkapa poleni sana

Wacha tusubiri hili picha la kihindi.

Starring GSM na kubwa la maadaui Mwigulu.

Kubwa la maadui atakaza halaf dk za mwisho atapigwa teke la ugoko na kufa papo hapo.
 
Tumeshaharibu kwa kufungwa kizembe na Azam FC na kutoka sare ya kipuuzi na Singida Big Stars FC, hivyo ubingwa tusahau msimu huu na kama si Yanga SC basi Azam FC anabeba.

Imeisha hiyo.
kweli,hawa ni tawi la Yanga,make leo Singida wamekuwa mdebwedo kabisa
 
Unabii umetimia
 
Hii ilikuwa kabla ya mechi au

Sent from my Redmi Note 9 Pro using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…