round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Ulizaliwa na mama yako akiwa hajaolewa na pengine akaja kuolewa na mwanaume mwengine tofauti na baba yako, mwanamke huyu unamsifu.
Lakini hapo hapo unawadharau single mothers kwamba hawafai.
Hii tunaiitaje ?
Pia kwa upande mwengine kuna single mothers wanatamani kuolewa lakini wao hawataki watoto wao waje kuoa single mothers, namna gani tena hapa ?