Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

mkuu kama wewe huwezi usiwasemee wenzio, hizo km 13 tunakata vizuri tu
 
Asante mkuu. Wewe unakimbia kwa muda gani hizo 9km?
Inategemea. Kwenye elevation ndogo, 10km natumia dk 55 hadi 60. Elevation kubwa natumia zaidi ya dk 60.
Unatumia njia Gani kurekodi muda wako?
 
Kama una run at low altitude km 2 na unahema kama unataka kufa. My man rethink afya ya mwili wako

Kikawaida inatakiwa bila hata mazoez makali atleast ukatw 12km
 
Kama una run at low altitude km 2 na unahema kama unataka kufa. My man rethink afya ya mwili wako

Kikawaida inatakiwa bila hata mazoez makali atleast ukatw 12km
Mkuu huu uzi wa mwaka juzi. Kwa sasa niko sawa.
 
Inategemea. Kwenye elevation ndogo, 10km natumia dk 55 hadi 60. Elevation kubwa natumia zaidi ya dk 60.
Unatumia njia Gani kurekodi muda wako?
Hongera mkuu. Uko fit. 10km rekodi yangu ni dakika 63. Natumia Xiaomi Smart Band 8 iliyounganishwa na app kwenye simu.
 
Safi sana mkuu.

Naomba share kidogo maelekezo humo kwenye bold mie learner nitoke japo na kitu,nakimbia kwa week mara tatu yaani jumatatu jumatano na ijumaa nakata 7.1Km per route,unadhani kwa hivi itasaidia kwa lolote?
 
Hapo kwenye mavazi nikijitolea mimi mwenyewe kama mfano ni kuwa mwanzoni nilikuwa navaa viatu ambavyo vilikuwa vinaniletea injuries sana kiasi cha kutaka kakata tamaa. Baadae nikajipiga na kununua nguo na viatu professional vya mazoezi ya kukimbia. Baada ya kufanya hivyo sijawahi pata tena injury. Kuhusu usalama huwa nakuwa makini mno na pikipiki, magari na nyoka.
 
Sawa kabisa mkuu hapo safi,vipi kuhusu ratiba?

Unakimbia daily or umeteua na wewe siku maalumu za kufanya hivyo ndani ya wiki?
 
Sawa kabisa mkuu hapo safi,vipi kuhusu ratiba?

Unakimbia daily or umeteua na wewe siku maalumu za kufanya hivyo ndani ya wiki?
Mimi sikimbii zaidi ya mara 4 kwa wiki. Sina siku maalum ila nahakikisha mara 3 au 4 kwa wiki nakimbia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…