Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Uko spidi kinyama. Mimi huko sijafika. Rekodi yangu ni 10km kwa saa 1 dakika 10.
Naweza amini kweli nipo speed maana mara nyingi nikikimbia ninaogumiana nao njiani mara nyingi nawapita, japo lengo sishindani

Kukimbia sambamba na mtu labda yeye ndo a maintain speed yake kuendana na yangu nje hivyo kibati....[emoji125]
 
Hiyo pace ni ya dakika 5 na sekunde kadhaa... ni pace kali sana kwa watu ambao sio wanariadha professional. Ina maana kama una umri wa miaka 30+ ungeweza kuwa mwanariadha enzi ukiwa under 30 hasa early 20s
 
Na mazoezi mazuri sio kukimbia. Ni KUTEMBEA HARAKA HARAKA! Utatunza afya ya moyo wake. Kukimbia huweza kusababisha mtanuko wa moyo.
Huwez kuona wahhindi wanakimbiaa lakkin uunawaona kila sbh wanattembea haraka
 
Hiyo pace ni ya dakika 5 na sekunde kadhaa... ni pace kali sana kwa watu ambao sio wanariadha professional. Ina maana kama una umri wa miaka 30+ ungeweza kuwa mwanariadha enzi ukiwa under 30 hasa early 20s
Hii nakubaliana na wewe,wakati Niko kwenye my mid 20's nilikuwa na pace Kali,now nmerudi kujifua walau niwe na pace ya 4/km
IMG_20240924_123737.jpg
 
Push up 50 na kuruka kamba Kila asubuhi kabla ya kuoga SIWEZI kukimbia kimbia barabarani utafikiri kichaa.... Yaani mi degree yangu siwezi Fanya huo usenge
Kila mtu anasimamia anacho kiamini
 
Push up 50 na kuruka kamba Kila asubuhi kabla ya kuoga SIWEZI kukimbia kimbia barabarani utafikiri kichaa.... Yaani mi degree yangu siwezi Fanya huo usenge
Hiyo degree weka mezani ushushie na fanta orange kama inalika.
 
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.

Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.

Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.

Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!

Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Halafu nyumbani kwake Kuna majani ya kupalilia, hana bustani, wala maua, hana migomba wala aina yoyote ya mimea aina hiyo, gari anapeleka car wash, kufagia uchafu na majani hajawahi wala kufikiria!
Bure kabisa kabisa 🤬😾😤😡😠🗯️💢👺
 
13km kumaliza easy ila kwa kuanza unaanza na atkeast 3km baadae unapanda to 5 mara 8 mara 10 mwisho 13km unafika
 
Kukimbia ni wepesi wa mwili siyo KG’s kuna watu wanene ila wepesi
Wengine mwili wa wastan ila hata nusu kM hawezi kukimbia
 
Back
Top Bottom