Nebuchadneza
JF-Expert Member
- Oct 6, 2023
- 435
- 1,093
Hizo ni chache sanaKukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni chache sanaKukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
Aisee bado uko fit sana. Una umri zaidi ya 30 years?Nimegoogle imeniletea 15.7 km
Sio chache mkuu.. inategemeana na mtu. Kuna wanaofanya mazoezi ila pia wana vipaji vya riadha. Hawa huwa tofauti.. gebresellasie wa Ethiopia ana miaka zaidi ya 50 ila ukienda nae zoezi hutoboi.Hizo ni chache sana
Nguvu wanazozitumia kukimbia barabarani, kwenda Jim kupambana na mavyuma na sauna wangetumia nguvu hizo kufanya kazi za kuwaingizia pesa Tanzania tungekuwa na Matajiri wengi..Sasa wasubiri fainali uzeeni ndio watakutia.nguvu walizopoteza bure
NdioAisee bado uko fit sana. Una umri zaidi ya 30 years?
Labda kama mimi ndio sijui urefu wa 13km.Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Na mazoezi mazuri sio kukimbia. Ni KUTEMBEA HARAKA HARAKA! Utatunza afya ya moyo wake. Kukimbia huweza kusababisha mtanuko wa moyo.Kukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aisee
Hahahaha! Wapili wewe unalalamikia mafanikio ya wenzakoKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Vipi nikiwa natembea izo 10kmMzee njoo twende km 10 mwanzo mwisho ...kama huwezi kimbia km 10+wewe ni zuchu tu
Sent from my CPH2349 using JamiiForums mobile app
1l🤣🤣🤣🤣🤣Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
acha wivu kwa vibonge wepesi.... umesema 2km nikasikitika unazidiwa hadi na mke wangu anasogeza 5km na halii lii kama wwKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Ukute yeye ni kijana zaidi yako,ila kwasababu wengi tupo kihisia zaidi,tunahisi mtu flani ni mdogo au mkubwa kutokana na kujaji maandishi yetu.Hivi bado mpo watu wa kusema hvo mi ni nani?
Nkishakujua itakuaje
Mkitukanwa mnalia vijana wa siku hizi hawana adabu kumbe wew ndo umeanza kuleta upumbavu wako
Uvumilivu ukikushinda mtafune tu,wanatamanisha sana hao,hasa wenye makalio makubwa na K za kutuna,yaani inaleta raha sana kufanya nao mazoezi,wanahamasisha mtu uende mazoezi Kila mara.Leo kuna mdada fulani jirani yangu kama nyumba ya nne, ni mfanyakazi wa serikali aliniona wakati naenda jogging kaomba aungane nami kesho. Kwa alivyofungasha ni mtihani mzito. Pia yuko single na mimi niko single. Nahisi program yangu ya mazoezi kuvurugwa. HILI NI JARIBU KUU
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
1. Kuweka headphone siwezi nitashindwa ku-focus.UKITAKA KUKIMBIA BILA KUCHOKA FANYA HIVI;
1. Chukua simu yako au zile headphone weka nyimbo unazopenda kisha anza kukimbia
2. Usikimbie kama unakimbizwa
3. Usitumie mdomo kuvuta na kutoa pumzi, tumia pua tu. Ukitumia mdomo kuna mawili, kupata pumu au ndani ya dakika 3 ulimi nje kama mbwa
4. Muda mzuri wa mazoezi ni jioni
Usiamini unayoyaona kwenye mitandao.Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Jifunze ku-mind your busnessInauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Kaa kimya wewe.Jifunze ku-mind your busness
Utateseka sana kwenye dunia hii kama hutobadilkaKaa kimya wewe.