MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
- Thread starter
- #81
Hadi = hadhiKuna watu wanaishusha sana Hadi Jamii Form....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hadi = hadhiKuna watu wanaishusha sana Hadi Jamii Form....
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Wewe usiyekimbia barabarani ni tajiri?Nguvu wanazozitumia kukimbia barabarani, kwenda Jim kupambana na mavyuma na sauna wangetumia nguvu hizo kufanya kazi za kuwaingizia pesa Tanzania tungekuwa na Matajiri wengi..Sasa wasubiri fainali uzeeni ndio watakutia.nguvu walizopoteza bure
Ni kweli mkuu. Juzi nilikimbia 2.25km leo nimeenda 2.3km kwa dakika 15. Hakika haya ni mafanikio makubwa kwa upande wangu.HUWEZI kufika Darasa la Saba kama hujaanza Darasa la kwanza.
Ili Ufike Darasa la Saba Lazima upite Darasa Moja Baada ya jingile.
Uhesabu 1,2,3,4,5,6,7..... Nk
HUWEZI ukaanza 100
Bila kuanza na Moja
Darasa la kwanza.
Darasa la Pili.
Dara sa la Tatu.
Darasa la Nne.
Tano, SITA, Saba
Form one
Two , three na four.
Form five six Hadi chuo.
Anza KUKIMBIA MITA 10
Then 20.
Halafu 30.
Baadaye kilomita 1,2,3. ....... Hadi 50
HUWEZI ukafika miaka mia bila kuwa na Miaka 1,2,3,4,5
Hakuna kuruka stage.
Leo kuna mdada fulani jirani yangu kama nyumba ya nne, ni mfanyakazi wa serikali aliniona wakati naenda jogging kaomba aungane nami kesho. Kwa alivyofungasha ni mtihani mzito. Pia yuko single na mimi niko single. Nahisi program yangu ya mazoezi kuvurugwa. HILI NI JARIBU KUUUkitaka mimama,huku ndo kwenyewe
Uzito haupungui kwa kufanya mazoezi.Uzito unapungua kwa kupunguza sana wanga na idadi ya milo kwa siku.Kula angalau mara moja kwa siku( 24Hrs) mlo sahihi.Ukiweza kula milo mitano kwa wiki.
Achana na soda,juice na pombe.
Kula matunda yasiyo na sukari nyingi kwa kiasi sana.
Ukiweza achana na wanga kama vile ugali,wali,chapati na ndugu zake,mihogo na viazi vyote.Kula mboga za majani na protini.
Ukishindwa kufanya hivyo hutaweza kupungua.
Njia iliyobaki shika jembe ukalime - hapa lazima upungue.Hili zoezi la jembe ndilo aerobic ya ukweli kuliko zote
youtu.be/5f2j3aQnngw?si=jHZTFsdmtY98eqtrUzito haupungui kwa kufanya mazoezi.Uzito unapungua kwa kupunguza sana wanga na idadi ya milo kwa siku.Kula angalau mara moja kwa siku( 24Hrs) mlo sahihi.Ukiweza kula milo mitano kwa wiki.
Achana na soda,juice na pombe.
Kula matunda yasiyo na sukari nyingi kwa kiasi sana.
Ukiweza achana na wanga kama vile ugali,wali,chapati na ndugu zake,mihogo na viazi vyote.Kula mboga za majani na protini.
Ukishindwa kufanya hivyo hutaweza kupungua.
Njia iliyobaki shika jembe ukalime - hapa lazima upungue.Hili zoezi la jembe ndilo aerobic ya ukweli kuliko zote
Wewe mgonjwa Sana wahi hospital.Mimi ninaumia kuona nikienda 2km tu moyo unataka ku-burst halafu kibonge kakata 15km
Kukimbia ni noma sana kama hauna mazoezi ukikimbia km3 unahisi unataka kufa aiseeKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Halafu wengi bed hawana pumzi,, kuna kadada kila siku kupost sijui kaenda km 20 , ila ukienda kunyandua dakika kadhaa tu analalamika kachokaKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Nimeanza kukimbia naombeni uniambie hivi ukitoka ibungu kuzunguka sahara,ukapita lile daraja la ubungo mpaka urafiki ni kilometre ngapi waku maana ni nomaa mpaka moyo unataka kutokaKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Download App ili ikupe umbali sahihi.Nimeanza kukimbia naombeni uniambie hivi ukitoka ibungu kuzunguka sahara,ukapita lile daraja la ubungo mpaka urafiki ni kilometre ngapi waku maana ni nomaa mpaka moyo unataka kutoka
Acha kujidanganya.Wewe mgonjwa Sana wahi hospital.
WanajiropokeaHalafu wengi bed hawana pumzi,, kuna kadada kila siku kupost sijui kaenda km 20 , ila ukienda kunyandua dakika kadhaa tu analalamika kachoka
Sio lazima utumie app nenda Google andika sehemu unapoanzia kukimbia na sehemu utakayo malizia pale itakuletea distance,mimi naanziaga ibungu to urafiki via kigogo road ni 15.7 km exactly huwa nazimaliza tena nikiwa na nguvu,ila kuna mahali inafika roho inataka kuchomoka sio powahMkuu mtu akikwambia kaenda km 13 bila ushahidi (GPS or any fitness app) au kufanya makadirio ya km tu hapo anakuwa anajidanganya mwenyewe
Wakimbiaji wengi hasa wazoefu wanatumia saa zenye GPS au simu (smartphone) etc.
Saa zenye GPS ziko more accurate kwa umbali kupima kuliko saa ambazo hazina GPS , pia simu baadhi kama infinix etc huwa zinatabia ya kuvuruga umbali uliokimbia..unaweza kuta mtu huyo amekimbia km 5 inamwandikia 13 ..Ni suala la uelewa kwa mtumiaji.
Wakimbiaji wengi wazoefu wanatumia APP zenye ufanisi kama STRAVA hii ni common worldwide it's like social network...kuna app zingine sio nzuri kwenye kurekodi
Pia kuna matatizo ya GPS kuvuruga km na route ya mtu anayofanyia mazoezi..maybe hayo maeneo sio mazuri
Pia kuna suala la uelewa mdogo kwa mtu mgeni ambaye anaanza kukimbia na kutumia hivi virecord mwendo.
Mwisho kabisa.mtu kukimbia pekee
Haimfanyi kupungua mwili..kuna mambo mengi yanayokwamisha hasa ulaji wa chakula.
Nimegoogle imeniletea 15.7 kmDownload App ili ikupe umbali sahihi.