Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia...
Kwa age anzia 40 kutembea ni zoezi tosha kwa uzoefu wangu 7 km is enough ambazo ni hatua 10000, ama 8km ambazo ni hatua 12000 naa hizi unazikata kwa lisaa1 hivo unatak8wa kutembea kwa speed na iwe kila siku. Unaweza kutembea 4 km a subuhii na 4 jioni
 
Kwa age anzia 40 kutembea ni zoezi tosha kwa uzoefu wangu 7 km is enough ambazo ni hatua 10000, ama 8km ambazo ni hatua 12000 naa hizi unazikata kwa lisaa1 hivo unatak8wa kutembea kwa speed na iwe kila siku. Unaweza kutembea 4 km a subuhii na 4 jioni
Kutembea naona kama sio zoezi. Ni uvivu.

Miaka 40 bado unaweza kukimbia ila kasi ndo inapungua.

Hata wanariadha wa umri huo hushiriki mbio ndefu za half marathon na Marathon ambazo hazihitaji spidi kali.
 
Watu wengi wakiongelea kuhusu kukimbia wanafocus kitu kimoja tu nacho ni kupungua...Faida za mazoezi ya kukimbia ni nyingi sana na sio kukimbia pekee .Mimi binafsi toka nimeanza safari hii ya kukimbia nimeiva Sana na my life imebadilika Sana .mwili wangu umekuwa vizuri Sana etc...kukimbia Kwa mtu kama Mimi ni LIFE STYLE sio season yaani ikipita siku mbili sijakimbia najisikia tofauti ...so kila nkinkimbia si chini ya km 10 Hadi 21 hapo ndio kiwango changu ..
Ukiweka habit ya kukimbia utaona mabadiliko mengi Sana kwenye mwili wako kuanzia kichwani na kushuka chini Cha msingi fuata kanuni za kukimbia kuanzia mavazi, route, usalama na vifaa muhimu.

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.

Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.

Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.

Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!

Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Km 13 ni average distance ya mchezaji mpira katika 90 uwanjani, tena hapo nazungumzia wale top players hasa wa ulaya kama Rodri au Gundogan wanaozunguka uwanja mda wote. Sasa huyo kibonge anafikisha vipi hizo kilomita kama si uwongo.

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom