Mnaofanya mazoezi ya kukimbia kuna mambo mnadanganya

Kuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.

Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.

Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.

Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!

Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Aisee
 
Mkuu ukifuata ya watu utapotea
 
Anza kukimbia kwenye mashine halafu ukishakuwa mzoefu ndio uingie barabarani.
 
Vibonge wana bidii sana ya mazoezi aisee.
Pamoja na kua wanapungua taratibu ika wana uimara sana.

Siku na mimi nikataka kupiga jaramba kidg, nimeingia jogging morning mapema kabisa.

Mi ndo siku ya kwanza hiyo, nikamkuta big nae anapiga mojamoja na inaonekana katoka mbali na kaanza muda kabla yangu, tumeenda kama 1.5 km mi nishaanza kutepeta big bado yuko fiti kama ndo anaanza vile.
 
Anza kukimbia kwenye mashine halafu ukishakuwa mzoefu ndio uingie barabarani.
Hii post ya mwaka jana September. Sasa hivi niko fit hadi najiogopa. Nitashiriki mashindano yoyote ya 10km yatakayokuwepo kwenye mji niliopo.
 
  • Thanks
Reactions: M45
Hii post ya mwaka jana September. Sasa hivi niko fit hadi najiogopa. Nitashiriki mashindano yoyote ya 10km yatakayokuwepo kwenye mji niliopo.
Kuna kitu huwa kinanistaajabisha naamini huwa haitokei kwangu tu

Huwa nikianzaga kukimbia dakika kama 10 za mwanzo najihisi mchovu hata kunyanyua hatua kwa speed naonaga tabu lakin baada ya kama dakika 10 hivi mwili naukuta unabadilika then nakuwa na uwezo wa ku regulate speed ninayoitaka
Ni kama mwili unaingia katika mode fulani hivi

Hii kitaalamu ipo vipi hii Mkuu?
 
Huwa unafanya warm up kabla ya kuanza kukimbia?
 
Kuna kitu huwa kinanistaajabisha naamini huwa haitokei kwangu tu

Huwa nikianzaga kukimbia dakika kama 10 za mwanzo najihisi mchovu hata kunyanyua hatua kwa speed naonaga tabu lakin baada ya kama dakika 10 hivi mwili naukuta unabadilika then nakuwa na uwezo wa ku regulate speed ninayoitaka
Ni kama mwili unaingia katika mode fulani hivi

Hii kitaalamu ipo vipi hii Mkuu?
Hiyo ni kawaida mkuu. Fanya warm p kabla ya kuanza. Pia ukitumia asali inasaidia sana kwenye kupata spidi nzuri toka mwanzo. Mimi tangu nianze kutumia asali nimejikuta nakimbia kama mwizi. Nilisoma article ya afya wanasema pata asali vijiko viwili vikubwa dakika 20 kabla ya jogging. Pia kula hata masaa matatu kabla ya kukimbia.
 
Nimekusoma vyema Mkuu, ngoja ni practice
 
Nawezaje pata injuries?
Injuries husababishwa na mambo mbalimbali. Mimi wakati naanza nilikuwa na uzito mkubwa nikajikuta napata injuries ndani ya magoti. Pia nilipata injuries unyayoni kwenye kisigino na vidole vya mbele kwasababu ya kuvaa raba zisizo sahihi kukimbilia. Hizo injuries zilipona sasa niko poa. Pia kwa upande wangu mazoezi ya kutembea huniumiza zaidi miguu kuliko kukimbia.
 
Target yangu now nataka nitumie lisaa 1 na nusu bila kuchoka kuzikimbiza kilomita nitazoweza kuzikimbiza

Ambapo itakuwa rekodi yangu kubwa

Kwasasa rekodi nayoshikilia ni kukimbia lisaa 1 na dakika 5
 
Hilo lisaa na dakika 5 ulienda kilometa ngapi?
 
Back
Top Bottom