Kim Jong Jr
JF-Expert Member
- Mar 15, 2014
- 11,074
- 20,608
Acha uvivuNa mazoezi mazuri sio kukimbia. Ni KUTEMBEA HARAKA HARAKA! Utatunza afya ya moyo wake. Kukimbia huweza kusababisha mtanuko wa moyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uvivuNa mazoezi mazuri sio kukimbia. Ni KUTEMBEA HARAKA HARAKA! Utatunza afya ya moyo wake. Kukimbia huweza kusababisha mtanuko wa moyo.
AiseeKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Mkuu ukifuata ya watu utapoteaKuna jambo nimekuwa nikilifikiria na kubaki kushangaa sana. Ni hii tabia ya wafanya mazoezi ya kukimbia. Unakuta mtu anapost kaenda mazoezi ya kukimbia na kudai kamaliza labda 13km kwa kukimbia.
Kumaliza 13km sio tatizo kwa watu wenye mazoezi ila kukuta mtu kibonge na minyama ya kutosha kapost kumaliza 13km kwa kukimbia inaleta ukakasi sana.
Kwa msiojua ni kuwa mazoezi ya kukimbia sio kitu cha mchezo mchezo. Yaani hata kumaliza 1km bila kusimama wala kutembea inastahili pongezi.
Tuache kudanganyana kwenye mambo serious. Cha kushangaza wengi wanaojidanganya huwa hawapungui!
Inauma sana kuona unamaliza 2km huku roho ikikaribia kuacha mwili mara ghafla unaona kibonge kapost kamaliza 13km. Huu sio uungwana na ni kukatishana tamaa.
Hii post ya mwaka jana September. Sasa hivi niko fit hadi najiogopa. Nitashiriki mashindano yoyote ya 10km yatakayokuwepo kwenye mji niliopo.Anza kukimbia kwenye mashine halafu ukishakuwa mzoefu ndio uingie barabarani.
Kuna kitu huwa kinanistaajabisha naamini huwa haitokei kwangu tuHii post ya mwaka jana September. Sasa hivi niko fit hadi najiogopa. Nitashiriki mashindano yoyote ya 10km yatakayokuwepo kwenye mji niliopo.
Huwa unafanya warm up kabla ya kuanza kukimbia?Kuna kitu huwa kinanistaajabisha naamini huwa haitokei kwangu tu
Huwa nikianzaga kukimbia dakika kama 10 za mwanzo najihisi mchovu hata kunyanyua hatua kwa speed naonaga tabu lakin baada ya kama dakika 10 hivi mwili naukuta unabadilika then nakuwa na uwezo wa ku regulate speed ninayoitaka
Ni kama mwili unaingia katika mode fulani hivi
Hii kitaalamu ipo vipi hii Mkuu?
Hiyo ni kawaida mkuu. Fanya warm p kabla ya kuanza. Pia ukitumia asali inasaidia sana kwenye kupata spidi nzuri toka mwanzo. Mimi tangu nianze kutumia asali nimejikuta nakimbia kama mwizi. Nilisoma article ya afya wanasema pata asali vijiko viwili vikubwa dakika 20 kabla ya jogging. Pia kula hata masaa matatu kabla ya kukimbia.Kuna kitu huwa kinanistaajabisha naamini huwa haitokei kwangu tu
Huwa nikianzaga kukimbia dakika kama 10 za mwanzo najihisi mchovu hata kunyanyua hatua kwa speed naonaga tabu lakin baada ya kama dakika 10 hivi mwili naukuta unabadilika then nakuwa na uwezo wa ku regulate speed ninayoitaka
Ni kama mwili unaingia katika mode fulani hivi
Hii kitaalamu ipo vipi hii Mkuu?
Hapana, huwa nachomaga tu moja kwa mojaHuwa unafanya warm up kabla ya kuanza kukimbia?
Uwe unafanya warm up mkuu.Hapana, huwa nachomaga tu moja kwa moja
Nimekusoma vyema Mkuu, ngoja ni practiceHiyo ni kawaida mkuu. Fanya warm p kabla ya kuanza. Pia ukitumia asali inasaidia sana kwenye kupata spidi nzuri toka mwanzo. Mimi tangu nianze kutumia asali nimejikuta nakimbia kama mwizi. Nilisoma article ya afya wanasema pata asali vijiko viwili vikubwa dakika 20 kabla ya jogging. Pia kula hata masaa matatu kabla ya kukimbia.
Poa, lkn si hakuna madhara ukianza direct?Uwe unafanya warm up mkuu.
Hakuna madhara ya wazi ila unajiweka kwenye hatari ya kupata injuries tofauti na anayeanza na warm up.Poa, lkn si hakuna madhara ukianza direct?
Nawezaje pata injuries?Hakuna madhara ya wazi ila unajiweka kwenye hatari ya kupata injuries tofauti na anayeanza na warm up.
Injuries husababishwa na mambo mbalimbali. Mimi wakati naanza nilikuwa na uzito mkubwa nikajikuta napata injuries ndani ya magoti. Pia nilipata injuries unyayoni kwenye kisigino na vidole vya mbele kwasababu ya kuvaa raba zisizo sahihi kukimbilia. Hizo injuries zilipona sasa niko poa. Pia kwa upande wangu mazoezi ya kutembea huniumiza zaidi miguu kuliko kukimbia.Nawezaje pata injuries?
Hilo lisaa na dakika 5 ulienda kilometa ngapi?Target yangu now nataka nitumie lisaa 1 na nusu bila kuchoka kuzikimbiza kilomita nitazoweza kuzikimbiza
Ambapo itakuwa rekodi yangu kubwa
Kwasasa rekodi nayoshikilia ni kukimbia lisaa 1 na dakika 5
Kilomita 12 mkuuHilo lisaa na dakika 5 ulienda kilometa ngapi?