Mnaohudhuria Uzinduzi wa Baa Mpya Kawe Lugalo (Kwa Maasai ) usiku huu hebu tupeni Mrejesho

361 wameona hapatoshi.
We have decided to Commercialize our Army Mkuu sawa? Halafu ukihoji unapewa Majibu mepesi na Wapumbavu walioko huko akina Chipukizi kuwa kwa sasa Lugalo hakuna Silaha hivyo Adui hawezi kusogea hapo.

Kumbe Kambi ya Lugalo ikiwa haina Silaha na kuwa tu Makazi ya Askari bado Maadui hawawezi Kujipenyeza humo na kupata Sensitive Information zingine za Kulihusu?

Hivi Mwanajeshi mwenye Akili kabisa anaweza Kusema kuwa Silaha zote zimeondolewa Kambi ya Lugalo? Hivi inakuingia Akilini kuwa Kambi Kubwa na ya Kihistoria kama hii ya Lugalo pamoja na Unyeti wake na kuwa Strategically Positioned kama ilivyo ikawa haina Silaha kama huyu Damn Fool Soldier Chipukizi anavyosema?

Halafu GENTAMYCINE akiwa Anawadharau na Kuwaambieni ( akina Chipukizi ) kuwa hamna Akili ( Wapumbavu ) na Wendawazimu mnakasirika.
 
Kama nawe ni Mwanajeshi ( JWTZ ) kama Ulivyojinasibu ( Ulivyosema ) hapa basi I'm sorry to say this to you that you're one of the Pudding Head ( Dolt ) Soldier to ever exist in our Arny sawa?

Na pia nimekudharau kuliko Maelezo.
Mwizi umekamatwa. Unasimuliwa story na mjomba wako anae ishi kawe na wewe unakuja kusimulia huku jf watu wanakuchora tu kila mtu anajua wewe unaishi porini huko Bunda ila kutwa kujichocha hapa jf eti kawe.

Wewe jamaa ni mgonjwa.
 
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
 
Uncircumcised Baboon na Sluggish Person kama Wewe hamjawahi Kunisumbua hapa JamiiForums sana sana huwa napenda muwepo ili Niwafundisheni jinsi ya Kufikiri.
😂😂😂😂 Wenye lugalo yao dada ndo hao.

KILA siku nakwambiaga hapa ni mgonjwa. Hauishi dar wala hujawahi kufika dar maisha YAKO yote ila kila.siku kujichocha hapa eti Kawe.

Unaona unavyo choreshwa hapa we pimbi.

Wewe piga story za Bunda vijijini story za kakakuona ndo zinaendana na wewe
 
Kuna Mmoja anaitwa Dulla anapaki Ukwamani Wajeda ( Wamedani ) wameanza Kumzindua na kwa jinsi ninavyomfahamu Kitabia najua tu atakuwa alimtongoza Mke au Hawara ya Mmedani ( Mjeda )

Nitaenda Kumtembelea baadae Kwake Maumivu ya Kipigo alichokichezea yakimpungua japo nikienda nitakuwa Nacheka mno kwani nilimuonya mapema tu kuwa asithubutu kwenda pale hakunisikia.

Fala wewe eti dula wa ukwamani 😂😂😂 wakati unaishi Bunda.

Wewe jamaa ni mgonjwa.

U need a very serious medical attention mkuu.
 
Hiyu Bumunda ana fikiria Lugalo ya 199x ndo ya Leo: Sasa hivi ata Daladala sio tu kusimama kupakia au kushusha mtu pale Lugalo, ata likizima Dereva na konda awapati shuruba! Enzi zile kuna siku moja Dereva na Konda wa Hice (miaka hiyo daladala zilikuwa hice na sio hizi DCM n.k ) walikamatwa na MP walilazimishwa kuzunguka mle ndani kwenye uwanja wa mpira mpaka mafuta yaishe kwenye tank- hadi hizime yenyewe ndo waweze fikiriwa kuachiwa na walikuwa just few mins wamejeza full tank pale Tangi bovu! Siku njingine kuna vijana walikuwa wanagombana pale kwenye uwanja wa mpira MP alimpatia yule dogo alienzaisha ugomvu Mche wa sabuni afulie t shirt ya dogo alie mpiga mpaka mche wa Mbuni uishe ndo aondoke kwao!! Hiyo ndo ilikuwa Lugalo wakati hikiitwa Lugalo those days!! Rip afande Babu,Rip afande Miraji ,Rip afande Mataula ,Rip Captain Mahundi🤚🏾
Kaka huyu mtoa haishi Kawe wala hajawahi kufika kawe tangu azaliwe.

Did I say kawe? No I meant to say haishi dar wala hajawahi kufika dar maisha yake yote. Hizo story anazopiga anasimuliwa tu halafu na yeye anakuja kuzisimulia hapa ili aonekane na yeye ni wa dar 😂😂😂 ana shida ya inferiority complex ana amini kutokuishi dar ni unyonge/ushamba.

Anaishi huko Bunda vijijini mwalimu wa shule ya msingi huko.

Wewe umekuja na fact ambazo zime mu expose ufake wake ndio maana ame povuka.

Duh Duniani kuna vituko aisee

😂😂😂😂😂
 
😂😂😂😂 Wenye lugalo yao dada ndo hao.

KILA siku nakwambiaga hapa ni mgonjwa. Hauishi dar wala hujawahi kufika dar maisha YAKO yote ila kila.siku kujichocha hapa eti Kawe.

Unaona unavyo choreshwa hapa we pimbi.

Wewe piga story za Bunda vijijini story za kakakuona ndo zinaendana na wewe
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
 
Kaka huyu mtoa haishi Kawe wala hajawahi kufika kawe tangu azaliwe.

Did I say kawe? No I meant to say haishi dar wala hajawahi kufika dar maisha yake yote. Hizo story anazopiga anasimuliwa tu halafu na yeye anakuja kuzisimulia hapa ili aonekane na yeye ni wa dar 😂😂😂 ana shida ya inferiority complex ana amini kutokuishi dar ni unyonge/ushamba.

Anaishi huko Bunda vijijini mwalimu wa shule ya msingi huko.

Wewe umekuja na fact ambazo zime mu expose ufake wake ndio maana ame povuka.

Duh Duniani kuna vituko aisee

😂😂😂😂😂
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
 
Kwa sasa Makao makuu ya Jeshi yapo Dodoma! Unyeti wa Lugalo mbali ya kuwa kwa sasa Lugalo ipo karibu na makazi ya watu na Hospital yake kuhudumia mpaka Raia wa kawaida( wanapokea Bima ya afya) sio tena high valued place in military affairs za Nchi! Hicho kinachofanyika Lugalo kwa sasa akina any treat for our Security! Ingekuwa Kizuka au mzinga au monduli kunafanyika haya yanayofanyika Lugalo kwa sasa hapo ata mimi ningelalamika. Pia now days Jeshi letu ni high tech! Zama za usipige picha hapa azipo tena😀 ! Mimi nimefanya kazi KV 302 kama mwajiriwa hapo Lugalo wakati wa ujana miaka ya 200x!(Civilian in Military Empolyment) Mabadiliko yaliopo sasa katika Jeshi letu na jinsi wewe inavyo post humu mara nyingi juu ya ulinzi usalama na ujasusi inaonekana wewe una too much fake info and imagination ya jeshi letu ila kichwani zero
Kaka sio inaonekana ana too much fake info. Huyu jamaa hajawahi kufika dar maisha yake yote. Ni mwalimu wa shule ya msingi huko Bunda vijijini. Hizo story anasikiaga kwa watu then anakuja kusimulia hapa.

Jamaa ni mgonjwa wa akili huyu
 
Kaka sio inaonekana ana too much fake info. Huyu jamaa hajawahi kufika dar maisha yake yote. Ni mwalimu wa shule ya msingi huko Bunda vijijini. Hizo story anasikiaga kwa watu then anakuja kusimulia hapa.

Jamaa ni mgonjwa wa akili huyu
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
 
Tatizo langu Kubwa ni Kuachana na Mama yako wakati Yeye ns nyie Watoto wake ( hasa Wewe mkubwa ) mkiwa mnanipenda.

Kunifuatilia Kwako Kutwa katika Threads na Posts zangu hapa JamiiForums huku ukitumia Multiple ID's zako ( bila ya kuisahau na ile yenye Jina la Kocha Msaidizi wa Simba SC ) kamwe hakuwezi Kunitisha, Kunivunja Moyo na Kunifanya nimrudie Mama yako.

Huwa sina tabia ya Kumrudia Mwanamke hivyo Pole sana Kwako Mtoto na kwa Mama yako na nifikishie tu Ujumbe Kwake kuwa Wanaume tupo Wengi ni kwanini ananing'ang'ania Mimi tu?
😂😂😂😂
 
😂😂😂😂😂😂
 
Nasikia Kiingilio ni Bure na Bia nazo ni bure kwa idadi uitakayo halafu Wanawake wote wanatakiwa Kuvaa Madela ila ndani wawe Watupu tu

Vile vile Watumbuizaji wakuu ni Christian Bella na Mboso na hivi sasa Saa 6 na dakika 57 hii Mvua ikiwa inanyesha Mboso ndiyo anaanza Kupanda Stejini.

Mimi GENTAMYCINE nitakuja mida ya Saa 8 baadae na Marafiki zangu wenye Camera za Kisasa kabisa na Uweledi wa Kiujasusi kutoka Rwanda, Uganda, Kenya, Malawi, Marekani, Israel na Zambia ambao Wote wanafanya Kazi katika Majeshi yao ili Waone Ubunifu wa Jeshi la Tanzania kwa Kuanzisha Baa Kubwa eneo Sensitive Kimedani ili na Wao wakirejea Makwao wakauige huu Upuuzi ( Uvaluvalu ) uliovuka Kiwango.

Tayari Jeshi Lina Ukumbi wake mkubwa tu wa ndani Lugalo ambao unaweza kufanyia Shughuli yoyote / Tamasha lolote lile na kujipatia Kipato ila leo kwa Upang'ang'a ( Upumbavu ) wetu tumeamua ku 'Commercialize' Jeshi letu na kufanya Mzaha ambayo GENTAMYCINE nasema ipo Siku tutakuja Kujuta.

Kwakuwa Jeshi letu la JWTZ limeamua kwa Makusudi ku 'Commercialize' maeneo yake Nyeti kama hapo Lugalo ( Kawe kwa Maasai ) GENTAMYCINE nashauri pia Watu wa Ikulu za Magogoni na ile ya Chamwino Wajitahidi nao watuwekee Raia wa Kawaida Ukumbi wa Kustarehe ( Kula Bata ) kwakuwa Tanzania yetu Kiusalama ndiyo Namba Moja duniani, tuna Jeshi Bora duniani na hatuna wa Kututisha kwa lolote lile na kamwe Tanzania hii hakutotokea Mashambulizi ya aina yoyote toka kwa Magaidi au Maadui Jirani.

Mtakaonielewa mbarikiwe sana tu!!!!
Na hili pia walisikie kama walivyolisikia lile la mnada kuwa karibu na eneo nyeti
 
Umeeleweka watu wanaona nchi imepoa Ila waelewa Tanzania ni Moja ya nchi yenye jeshi imara mno na ulinzi madhubuti mipakani

Hata sauzi walishawahi omba nusu ya jeshi letu nimenukuu kutoka Kwa kamanda mmoja hapa kambini [emoji91]
 
We have decided to Commercialize our Army Mkuu sawa? Halafu ukihoji unapewa Majibu mepesi na Wapumbavu walioko huko akina Chipukizi kuwa kwa sasa Lugalo hakuna Silaha hivyo Adui hawezi kusogea hapo.

Kumbe Kambi ya Lugalo ikiwa haina Silaha na kuwa tu Makazi ya Askari bado Maadui hawawezi Kujipenyeza humo na kupata Sensitive Information zingine za Kulihusu?

Hivi Mwanajeshi mwenye Akili kabisa anaweza Kusema kuwa Silaha zote zimeondolewa Kambi ya Lugalo? Hivi inakuingia Akilini kuwa Kambi Kubwa na ya Kihistoria kama hii ya Lugalo pamoja na Unyeti wake na kuwa Strategically Positioned kama ilivyo ikawa haina Silaha kama huyu Damn Fool Soldier Chipukizi anavyosema?

Halafu GENTAMYCINE akiwa Anawadharau na Kuwaambieni ( akina Chipukizi ) kuwa hamna Akili ( Wapumbavu ) na Wendawazimu mnakasirika.

Hahahaa Ngoja nimpigie Kamanda Chinga wa Lugalo hapo anipe more info.
 
Ukionana mwambie Kesho Jumapili aje pale kwa Rafiki yake Athuman ( Fundi Viatu ) Jirani na Mlango Mdogo nina Maagizo yake kutoka kwa Danga ( Malaya ) maarufu Happy Gaucho ( Minjino ) Mnyaturu sawa?
 
Hahaaa Umetisha Mkuu....Nitamfikishia nina appointment nae tutakutana Jambolee Ukwamani leo.
 
Mfikishie na mwambie apunguze sana kuwa Mnazi wa Yanga SC na kupenda Kubishana mno Vijiweni na hasa kwa Wanajeshi ( Wanamedani ) Wenzake.
 
Back
Top Bottom