Mnaoichukia Israel msitumie Smartphone, Laptop, Googlr, n.k. makampuni giant ya kompyuta na Internet huitegemea Israel kwenye kubuni

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.

China ndipo vilipo viwanda vingi vya kutoa nakala za bidhaa.

Marekani ndipo zilipo ofisi za usimamizi na uongozi wa makampuni haya.

Kampuni hizi unaweza kuzikuta hadi Kenya zikiwa na ofisi za ukanda, mauzo, n.k.

Lakini Israel ndipo zilipo akili zinazotegemewa kuumiza vichwa kubuni bidhaa kisha zinaenda kufyatuliwa nakala kwenye nchi kubwa kama china zenye viwanda vingi.

Makampuni makubwa kama Google, Microsoft, Intel, Qualcom, n.k. yana ofisi za Research and Development nchini Israel, Wameweka ofisi hizo kwajili ya kuwatumia wanasayansi na wahandisi wa Kiyahudi wawasaidie kubuni na kuendeleza bidhaa na huduma zao- wapo Israel kwajili ya kutumia akili za wayahudi wawabunie teknojia.

wao wanauza ubunifu, ni sawa na kwenye mgahawa, wapishi wameajiriwa kuandaa chakula lakini chakula kinajulikana ni cha mwenye mgahawa, mfano google wana ofisi Israel wameajiri wanasayansi wanaobuni teknolojia zinazoboresha matokeo ya google lakini google ndio wanaotambulika kumiliki hizo teknolojia.

Kwa ofisi za Marekani za Sillicon Valley ni kama tawi lao lingine, wamejazana mno kwenye ofisiz za Research and Development!!

Orodha chache ya Makampuni :

GOOGLE - Unaikwepaje google ukitumia internet kwamfano, Wao ndio wamiliki wa Android mfumo unaotumika kwenye simu kibao kama Samsung, Nokia, Sony, hadi huku kwenye Tecno na Itel

APPLE na SAMSUNG - Ni makampuni makubwa sana ya simu, Kwa upande wa Apple kuna laptops za Mac

INTEL - Hii ni chip inayotumika zaidi kwenye laptops, hio laptop yako unaiona imeandika Intel core i3, i5, i7, n.k. ujue hio ndio akili ya computer

HP na DELL - Brand maarufu za laptop hizi

MICROSOFT WINDOWS - System maarufu zaidi tunayotumia kwenye computer za mezani na laptops

AMAZON na EBAY - Masoko maarufu ya kuagiza bidhaa mtandaoni

IBM

ORACLE

Unaposikia Israel wapo vizuri ki intelejensia sio uchawi, ni kwamba wao wanahusika zaidi kwenye kubuni bidhaa za makampuni makubwa ya vifaa vya mawasiliano, hivyo inakuwa rahisi kwao kuingia kwenye mifumo

Kama upo kwenye kampeni ya kuipinga Israel itakuwa ni vema zaidi utumie simu za vitochi, computer za korea kaskazini, epuka kutumia google, n.k. Hadi hizo facebook, whatsapp, instagram ni za myahudi Mark Zuckbereg ongeza nguvu mpinge usitumie huduma zake.
 
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, Nimeona nije kuwasapoti kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke nguvu zaidi kukaa mbali na simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.

China ndipo vilipo viwanda vingi vya kutoa nakala za bidhaa.

Marekani ndipo zilipo ofisi za usimamizi na uongozi wa makampuni haya.

Lakini Israel ndipo zilipo akili zinazotegemewa kuumiza vichwa kubuni bidhaa kisha zinaenda kufyatuliwa nakala kwenye nchi kubwa kama china zenye viwanda vingi.

Makampuni makubwa kama Google, Microsoft, Intel, Qualcom, n.k. yana ofisi za Research and Development nchini Israel, Wameweka ofisi hizo kwajili ya kuwatumia wanasayansi na wahandisi wa Kiyahudi wawasaidie kubuni na kuendeleza bidhaa na huduma zao- wapo Israel kwajili ya kutumia akili za wayahudi wawabunie teknojia.

Kwa ofisi za Marekani za Sillicon Valley ni kama tawi lao lingine, wamejazana mno kwenye ofisiz za Research and Development!!

Orodha chache ya Makampuni :

GOOGLE - Unaikwepaje google ukitumia internet kwamfano, Wao ndio wamiliki wa Android mfumo unaotumika kwenye simu kibao kama Samsung, Nokia, Sony, hadi huku kwenye Tecno na Itel

APPLE - Ndio wamilikiwa simu za iphone na laptops za Macbook

INTEL - Hii ni chip inayotumika zaidi kwenye laptops, hio laptop yako unaiona imeandika Intel core i3, i5, i7, n.k. ujue hio ndio akili ya computer

HP na DELL - Brand maarufu za laptop hizi

MICROSOFT WINDOWS - System maarufu zaidi tunayotumia kwenye computer za mezani na laptops

AMAZON na EBAY - Masoko maarufu ya kuagiza bidhaa mtandaoni

IBM

ORACLE

Unaposikia Israel wapo vizuri ki intelejensia sio uchawi, ni kwamba wao wanahusika zaidi kwenye kubuni bidhaa za makampuni makubwa ya vifaa vya mawasiliano, hivyo inakuwa rahisi kwao kuingia kwenye mifumo
Hebu tutajie hizo huduma exactly ambazo zinatumiwa na hayo makampuni ambazo zimetengenezwa israel mkuu?
Tatizo mnalishana kahawa nyingi mkuu. Networking ina patents nyingi na zinamilikiwa na makampuni mbalimbali kuanzia nokia, huawei, ericson, n.k na wala si makampuni yote hayo ya Marekani pekee.
Vitu vinaundwa kwa kuunga technology za makampuni tofauti na ndio maana watu wanalipia patents.
 
Wao wanalipwa kubuni teknolojia

Teknolojia zikibuniwa ni mali ya kampuni iliyowaajiri, Patents zinakuwa za kampuni iliywaajiri
 
ndio wataje sasa kuwa fulani kabuni hiki na hiki ambacho ndicho kinatumika kwenye hiki otherwise ni story sawa na mtu aseme mnawachukia wahindi wakati wahindi ndio ma-CEO ya makampuni ya teknolojia US
 
Mfano nakupa karibia windows xp yote ilibuniwa Israel lakini hutoweza kuwajua waliobuni kwasababu walichobuni kinakuwa mali ya kampuni iliyowaajiri microsoft

ni sawa na Ludigo alikuwa kaajiriwa anapiga biti kwa kina Master Jay na Majani, beat kama ya Mikasi ni yeye kahusika sana lakini kwasababu aliajiriwa Bongo Records, Pfunk ndie anajulikana mwenye biti
 
Ndo kwanza wameziba masikio wengine wametoka Zanzibar na Saudi arabia wanaenda london kuwaamrisha wakristo wawe na "sharia laws"

Hawa watu aisee nentanyahu kawaweza.
 
Mfano nakupa karibia windows xp yote ilibuniwa Israel lakini hutoweza kuwajua waliobuni kwasababu walichobuni kinakuwa mali ya microsoft

ni sawa na Ludigo alikuwa kaajiriwa anapiga biti kwa kina Master Jay na Majani, beat kama ya Mikasi ni yeye kahusika sana lakini mwisho kwasababu kaajiriwa Pfunk ndie anajulikana mwenye biti
Sasa wewe umejuaje kuwa ilibuniwa israel wakati hapa unatuambiailikuwa mali ya microsoft. Mbona inajulikana kuwa Jony Ive alikuwa mbunifu wa iphone ya kwanza, ipod na products nyingi za apple japo zilikuwa mali za apple.
We tutajie jina mkuu maana story za kahawa zimekuwa nyingi sana.
 
Bidhaa zinabuniwa kwenye kitengo cha reseach and Development, Kampuni nyingi kubwa za Tech zina ofisi hizo Israel.

Teknolojia Inabadilika huwezi kutegemea iphone ya kwanza ipate soko mwaka huu 2024, ndio maana huwa kuna ofisi zinaanzishwa za kuendeleza teknolojia (Research and Development)

Wanaobuni huwezi kuwajua majina kwasababu kila wanachobuni kinakuwa ni patent ya kampuni iliyowaajiri, wao wanalipwa kuuza ubunifu wao
 
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, Nimeona nije kuwasapoti kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke nguvu zaidi kukaa mbali na simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.

China ndipo vilipo viwanda vingi vya kutoa nakala za bidhaa.

Marekani ndipo zilipo ofisi za usimamizi na uongozi wa makampuni haya.

Lakini Israel ndipo zilipo akili zinazotegemewa kuumiza vichwa kubuni bidhaa kisha zinaenda kufyatuliwa nakala kwenye nchi kubwa kama china zenye viwanda vingi.

Makampuni makubwa kama Google, Microsoft, Intel, Qualcom, n.k. yana ofisi za Research and Development nchini Israel, Wameweka ofisi hizo kwajili ya kuwatumia wanasayansi na wahandisi wa Kiyahudi wawasaidie kubuni na kuendeleza bidhaa na huduma zao- wapo Israel kwajili ya kutumia akili za wayahudi wawabunie teknojia.

Kwa ofisi za Marekani za Sillicon Valley ni kama tawi lao lingine, wamejazana mno kwenye ofisiz za Research and Development!!

Orodha chache ya Makampuni :

GOOGLE - Unaikwepaje google ukitumia internet kwamfano, Wao ndio wamiliki wa Android mfumo unaotumika kwenye simu kibao kama Samsung, Nokia, Sony, hadi huku kwenye Tecno na Itel

APPLE - Ndio wamilikiwa simu za iphone na laptops za Macbook

INTEL - Hii ni chip inayotumika zaidi kwenye laptops, hio laptop yako unaiona imeandika Intel core i3, i5, i7, n.k. ujue hio ndio akili ya computer

HP na DELL - Brand maarufu za laptop hizi

MICROSOFT WINDOWS - System maarufu zaidi tunayotumia kwenye computer za mezani na laptops

AMAZON na EBAY - Masoko maarufu ya kuagiza bidhaa mtandaoni

IBM

ORACLE

Unaposikia Israel wapo vizuri ki intelejensia sio uchawi, ni kwamba wao wanahusika zaidi kwenye kubuni bidhaa za makampuni makubwa ya vifaa vya mawasiliano, hivyo inakuwa rahisi kwao kuingia kwenye mifumo
Unaizungumzia Israel ya mwaka 1948 wakati huo kuna ndege na magari, computer na umeme...
Acha ujinga...
Miaka 10 baada ya taifa la Israel kuanzishwa, 1958 Soviet wanarusha satellite, nambie hao Israel walisaidia nini kwenye satellite...
 
taja hizo kampuni taja maana huwa hakuna kuficha. unataka kutupiga kamba kwenye windows xp maana story yake naijua na external companies zilizoshirikishwa nazijua story yake iko wazi kabisa mtandaoni ndio maana nakwambia utaje maana huwa sio siri kampuni kuajiri kampuni nyingine katika design au katika shughuli yoyote sio siri. Ndio maana leo tunajua kuwa TSMC hufyatua processor za makampuni kama apple na chips za makampuni kama nvidia sio siri.
And by the way kuchukukia watu fulani haimaanishi huwezi ukatumia mazuri yake. ndio maana Nazis walitengeneza methadone na fanta ambapo dunia inawachukia nazis lakini hizo bidhaa mpaka leo tunazitumia na kampuni ya coca ya US iliamua kuichukua fanta kuifanya kuwa moja ya bidhaa zake.
 
Bidhaa zinabuniwa kwenye kitengo cha reseach and Development, Kampuni nyingi kubwa za Tech zina ofisi hizo Israel.

Teknolojia Inabadilika huwezi kutegemea iphone ya kwanza ipate soko mwaka huu 2024, ndio maana huwa kuna ofisi zinaanzishwa za kuendeleza teknolojia (Research and Development)

Wanaobuni huwezi kuwajua majina kwasababu kila wanachobuni kinakuwa ni patent ya kampuni iliyowaajiri, wao wanalipwa kuuza ubunifu wao
Acha ujinga mzee...
Katika ubunifu na tech Israel haina u special wowote na hata leo hilo taifa likipotea gunduzi zitaendelea kama kawaida...

Steve Jobs mwenyewe baba yake ni mwarabu wa Syria...

Kila race ina watu special wenye uwezo mkubwa kufanya mambo makubwa...
 
Unaizungumzia Israel ya mwaka 1948 wakati huo kuna ndege na magari, computer na umeme...
Acha ujinga...
Miaka 10 baada ya taifa la Israel kuanzishwa, 1958 Soviet wanarusha satellite, nambie hao Israel walisaidia nini kwenye satellite...
Story za kahawa mkuu ndio maana hawezi kuwa specific ukimuuliza ni technology gani wanatumia google na microsoft toka israel anazunguka zunguka tu.
 
Marekani ni taifa la kwanza kutua kwenye Mwezi.

Wayahudi wana mchango mkubwa sana NASA shirika lenye mafanikio makubwa zaidi kwenye mambo ya anga na sayari, Abraham "Abe" Silverstein ni mmarekani myahudi aliewezesha Marekani kuwa taifa la kwanza kutua mwezini
 
Sasa wewe umejuaje kuwa ilibuniwa israel wakati hapa unatuambiailikuwa mali ya microsoft. Mbona inajulikana kuwa Jony Ive alikuwa mbunifu wa iphone ya kwanza, ipod na products nyingi za apple japo zilikuwa mali za apple.
We tutajie jina mkuu maana story za kahawa zimekuwa nyingi sana.
Wanakuambia wao wanauza technology.
Hivyo makampuni mengi Duniani yananufaika kwa kununua na hao wauza technology.
 
Story za kahawa mkuu ndio maana hawezi kuwa specific ukimuuliza ni technology gani wanatumia google na microsoft toka israel anazunguka zunguka tu.
Siku zote ukikuta mtu anaongelea ujinga na upuuzi kama huu ujue uwezo wake wa kufahamu mambo ni mdogo sana ...

Miaka mitano baadae atakuja kufungua na kusoma alichoandika atajiona alikuwa mjinga..
 
Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, Nimeona nije kuwasapoti kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke nguvu zaidi kukaa mbali na simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.

China ndipo vilipo viwanda vingi vya kutoa nakala za bidhaa.

Marekani ndipo zilipo ofisi za usimamizi na uongozi wa makampuni haya.

Lakini Israel ndipo zilipo akili zinazotegemewa kuumiza vichwa kubuni bidhaa kisha zinaenda kufyatuliwa nakala kwenye nchi kubwa kama china zenye viwanda vingi.

Makampuni makubwa kama Google, Microsoft, Intel, Qualcom, n.k. yana ofisi za Research and Development nchini Israel, Wameweka ofisi hizo kwajili ya kuwatumia wanasayansi na wahandisi wa Kiyahudi wawasaidie kubuni na kuendeleza bidhaa na huduma zao- wapo Israel kwajili ya kutumia akili za wayahudi wawabunie teknojia.

Kwa ofisi za Marekani za Sillicon Valley ni kama tawi lao lingine, wamejazana mno kwenye ofisiz za Research and Development!!

Orodha chache ya Makampuni :

GOOGLE - Unaikwepaje google ukitumia internet kwamfano, Wao ndio wamiliki wa Android mfumo unaotumika kwenye simu kibao kama Samsung, Nokia, Sony, hadi huku kwenye Tecno na Itel

APPLE - Ndio wamilikiwa simu za iphone na laptops za Macbook

INTEL - Hii ni chip inayotumika zaidi kwenye laptops, hio laptop yako unaiona imeandika Intel core i3, i5, i7, n.k. ujue hio ndio akili ya computer

HP na DELL - Brand maarufu za laptop hizi

MICROSOFT WINDOWS - System maarufu zaidi tunayotumia kwenye computer za mezani na laptops

AMAZON na EBAY - Masoko maarufu ya kuagiza bidhaa mtandaoni

IBM

ORACLE

Unaposikia Israel wapo vizuri ki intelejensia sio uchawi, ni kwamba wao wanahusika zaidi kwenye kubuni bidhaa za makampuni makubwa ya vifaa vya mawasiliano, hivyo inakuwa rahisi kwao kuingia kwenye mifumo
Wakini lipua poa tu,kwani watakuwa hawana tofauti na wanaoteka na kupoteza na ua.Kwani kwao ni kawaiiida sana.
 
Wanakuambia wao wanauza technology.
Hivyo makampuni mengi Duniani yananufaika kwa kununua na hao wauza technology.
Taja technology waliwauzia hayo makampuni aliyotaja. ni simple. Mbona kununua technology is siri. Mfano tunajua ARM inauza patents za processor kwa Apple, Qualcomm na Samsung kutumia ARM designs.
Tunajua kwama TSMC inaunda processor za makampuni mengi sio siri.
Tunajua Israel inauza malware yake ya Pegasus kwa nchi na mashirika mbalimbali kuhack mifumo na simu za watu.
Sasa kwanini kwa alichotaja hapo juu iwe siri. Taja walichotengeneza katika hizo nyanja za internet. Na inabidi watu wajue kuwa internet na tech nyingi zina patent za makampuni mbalimbali kuanzia nokia, ericson, huawei, n.k
 
Back
Top Bottom