and 100 others
JF-Expert Member
- Feb 3, 2023
- 3,707
- 12,367
Udini kaanzisha mleta mada.unataka kuingiza udini na race hapa wakati hatuoni waarabu wakibuni vitu
Kila race duniani ina mchango mkubwa kwenye maendeleo tuliyonayo leo...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Udini kaanzisha mleta mada.unataka kuingiza udini na race hapa wakati hatuoni waarabu wakibuni vitu
Source ya hizi taarifa ni ipi?Mfano nakupa karibia windows xp yote ilibuniwa Israel lakini hutoweza kuwajua waliobuni kwasababu walichobuni kinakuwa mali ya kampuni iliyowaajiri microsoft
ni sawa na Ludigo alikuwa kaajiriwa anapiga biti kwa kina Master Jay na Majani, beat kama ya Mikasi ni yeye kahusika sana lakini kwasababu aliajiriwa Bongo Records, Pfunk ndie anajulikana mwenye biti
Nenda kwenye kiini au chanzo ni nani aliasisi na kuikuza kampuni ya Apple ambayo ni kubwa duniani. Ni Steve Job ambae asili yake ni mwarabu kutoka Syria.Nimeona kuna movements za ku boycott / kugomea bidhaa zenye uhusiano na Israel, nimepata wazo nije kuwasapoti wadau kwenye huu mgomo kwa kuwashauri muweke mkazo zaidi kukaa mbali kwenye simu na computer kwasababu bidhaa na huduma hizi nyingi wanaozibuni ni wayahudi wa Israel.
China ndipo vilipo viwanda vingi vya kutoa nakala za bidhaa.
Marekani ndipo zilipo ofisi za usimamizi na uongozi wa makampuni haya.
Kampuni hizi unaweza kuzikuta hadi Kenya zikiwa na ofisi za ukanda, mauzo, n.k.
Lakini Israel ndipo zilipo akili zinazotegemewa kuumiza vichwa kubuni bidhaa kisha zinaenda kufyatuliwa nakala kwenye nchi kubwa kama china zenye viwanda vingi.
Makampuni makubwa kama Google, Microsoft, Intel, Qualcom, n.k. yana ofisi za Research and Development nchini Israel, Wameweka ofisi hizo kwajili ya kuwatumia wanasayansi na wahandisi wa Kiyahudi wawasaidie kubuni na kuendeleza bidhaa na huduma zao- wapo Israel kwajili ya kutumia akili za wayahudi wawabunie teknojia.
wao wanauza ubunifu, ni sawa na kwenye mgahawa, wapishi wameajiriwa kuandaa chakula lakini chakula kinajulikana ni cha mwenye mgahawa, mfano google wana ofisi Israel wameajiri wanasayansi wanaobuni teknolojia zinazoboresha matokeo ya google lakini google ndio wanaotambulika kumiliki hizo teknolojia.
Kwa ofisi za Marekani za Sillicon Valley ni kama tawi lao lingine, wamejazana mno kwenye ofisiz za Research and Development!!
Orodha chache ya Makampuni :
GOOGLE - Unaikwepaje google ukitumia internet kwamfano, Wao ndio wamiliki wa Android mfumo unaotumika kwenye simu kibao kama Samsung, Nokia, Sony, hadi huku kwenye Tecno na Itel
APPLE na SAMSUNG - Ni makampuni makubwa sana ya simu, Kwa upande wa Apple kuna laptops za Mac
INTEL - Hii ni chip inayotumika zaidi kwenye laptops, hio laptop yako unaiona imeandika Intel core i3, i5, i7, n.k. ujue hio ndio akili ya computer
HP na DELL - Brand maarufu za laptop hizi
MICROSOFT WINDOWS - System maarufu zaidi tunayotumia kwenye computer za mezani na laptops
AMAZON na EBAY - Masoko maarufu ya kuagiza bidhaa mtandaoni
IBM
ORACLE
Unaposikia Israel wapo vizuri ki intelejensia sio uchawi, ni kwamba wao wanahusika zaidi kwenye kubuni bidhaa za makampuni makubwa ya vifaa vya mawasiliano, hivyo inakuwa rahisi kwao kuingia kwenye mifumo
Kama upo kwenye kampeni ya kuipinga Israel itakuwa ni vema zaidi utumie simu za vitochi, computer za korea kaskazini, epuka kutumia google, n.k. Hadi hizo facebook, whatsapp, instagram ni za myahudi Mark Zuckbereg ongeza nguvu mpinge usitumie huduma zake.
Unafikiri mimaamuma ya mudi inaelewaga🤣😆 walichovumbua ile jamii waipendayo kuuza ni watumwa,Yaani unamsema Steve Jobs aliyekuwa mkatoliki mnakupewa elimu na Ukatoliki unamhusisha na uarabu?
Why hakurithinhata jina la kiislamu?
Alilelewa na waislamu?
Vipi kuhusu uncle Wozniack ambaye ndiye brain nyuma ya apple?
Yule Msyria alimlea Steve Jobs?
Steve Jobs was an Amaerican na kalelewa na Wayahudi hebu msome vizuri