Mnaoichukia Israel msitumie Smartphone, Laptop, Googlr, n.k. makampuni giant ya kompyuta na Internet huitegemea Israel kwenye kubuni

Source ya hizi taarifa ni ipi?
 
Nenda kwenye kiini au chanzo ni nani aliasisi na kuikuza kampuni ya Apple ambayo ni kubwa duniani. Ni Steve Job ambae asili yake ni mwarabu kutoka Syria.
Kuna maelfu ya waarabu, wahindi, machina ,wafrika wako kwenye makampuni makubwa ya IT hayo ya marekani.
Hawa wayahudi hawana kitu ni proganda tu na kudandia kama kupe.
Hawana historia yoyote ya uvumbuzi au mchango kwenye sayansi. Wamejitokeza miaka mia iliopita kwa njia ya utapeli na ukupe kwa kudandia idea za watu wengine Ndio maana walitumuliwa kila kona ya Ulaya.
 
Kwan hao nao wanabuni au wanaCopy?? Technolojia zote wanapora Afrika kwa sisi vilaza, wanakuja kwa migongo ya utalii&misaada, kumbe kuna malengo yao.

Vijana wengi wa kiafrika wameporwa gunduzi zao haswa sababu ya kukosa sapoti ktk nchi zetu za tawala za kishenzi, zinazoshindwa kuwaendeleza raia wake.

Narudia tena, gunduzi 70-80% mnazosema wamegundua hao matapeli waisrael/wazungu, ni uzushi mtupu, nyingi zinazohusisha technolojia ya umeme, Anga, utabibu, ujenzi zimechukulia huku huku kupitia vijana wadogo wabunifu waliokosa sapoti, wanachukuliwa mpaka nchi za ulaya&USA huko ambako wanalazimika kuugawa ujuzi wao kwa maslahi madogo ya vijipesa, then ujuzi huo unabambikiwa kwa wazungu kuwa ni wao wamegundua.

The same thing wanafanya chinese kwa sasa kusambaza raia wao Dunia nzima na kila nyanja ya technolojia unawakuta chinese, hawa jamaa wanakopi hizo technoloji alafu wanaenda kuendeleza kwao.

Hao mazayuni msiwajaze sifa za uongo hawana akili yoyote wala ugunduzi wowote, kwa sasa race inayoongoza kwa ugunduzi/uvumbuzi/technolojia ni China, South korea, Russia, then huko kwa wamagharibi.

Israel haina maajabu acheni kujazana uongo kwenye hivyo vijiwe vyenu vya kahawa.

Dunia bila black people isingekuwepo na haiwezi kuwepo maana ndiko chanzo cha maarifa ya bure na shamba la kujichotea vumbuzi/maarifa ya bure ambako hao wanyang'anyi (white people) wanajichotea tu,
 
Unafikiri mimaamuma ya mudi inaelewaga🤣😆 walichovumbua ile jamii waipendayo kuuza ni watumwa,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…