Mung Chris
JF-Expert Member
- Sep 12, 2017
- 3,391
- 3,849
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
[emoji6][emoji6][emoji6][emoji23]Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Anacheza kidogo anakimbia ndani aje anywe maji, mara kuna kitu kasahau ndaniUswahilini mtoto akose wakucheza nae unazungumzia nchi gani?
Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Mzazi upo kazini unabangaiza watoto wapo shuleni, wote mnarudi jioni na mnaondoka alfajiri. Kitanda hicho kibaya wakisikia kina tingishika wanachungulia chini.View attachment 1687373
solition ya kuishi chumba kimoja na watoto. Lakini mengine yafanyike wakiwa shuleni.
Kwahiyo hakuna kufanya kazi mchana au?View attachment 1687373
solition ya kuishi chumba kimoja na watoto. Lakini mengine yafanyike wakiwa shuleni.
Yaani hapa ni balaa, na huwa wanaamka mapema sana yani kile cha asubuhi hakikuwagi tena mnabaki kusikia kama stori tuSarakasi hakuna tena, uhuru kushnei!
[emoji3][emoji3][emoji3] kazi kweli kweli , ndo maana wengine huwapeleka tu watoto kijijin wakakae na wazee waoKuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
Huwa mnadhani kuwa hao watoto hawajui mnalolifanya lakini ukweli ni kwamba wanaelewa kila kitu.Wadau walio na experience ya kuishi chumba kimoja na mtoto/watoto wenye umri wa miaka 4 huwa mnafanyaje mkitaka kula tunda iwe mchana au iwe usiku, wengine watoto wao hawana wa kucheza nao kwamba waende wakacheze ili mmalize haja yenu.
Hao watoto huwa mnadhani hawajui mnalolifanya lakini ukweli ni kwamba wanaelewa kila kitu.
Na ubaya ni kwamba mtoto wa miaka kuanzia mitatu huwa hapotezi kumbukumbu za matukio ya utotoni mpaka anakuwa mtu mzima.
Na madhara yake ni sio mazuri kwa afya ya akili ya mtoto anapoona mama ameinamishwa na baba huku anamwaga vilio vya "uchungu".
Anaweza kupata hata PTSD — a psychological disease!
Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuwa wanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.Kuna jamaa alikuwa na mapacha 2 hivi, na amepanga room moja.
Walipoanza kula tunda mwendo uliopokolea walimpush dogo mmoja akadondoka na wao wakatulia kusikilizia kama yuko macho huyo aliyedondoka.
Dogo alipodondoka alitulia tuli kama kalala vile.
Wazazi wakanong'onezana..kalala tuendelee.
Walipolianzisha tena..dogo alipiga kelele akimwambia mwenzake...jishike jishike wameanza tena watakusukuma uanguke kama mimi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Ikawa mwisho wa mechi
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuawanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.
Sasa bwana sikuhiyo wife alikua kachoka sana si unajua tena kazi za nyumbani haziishagi!!!! Walipojilaza kitandani pale kusikilizia madogo walale wife akapitiwa na usingizi. Jamaa kavuta muda akajua saivi hawa watoto washalala ngoja niwashe kiberiti nimuite wife aje, jamaa washa washa na wewe, wife haji. Akawasha karibu nusu kiberiti wife ndo kwanza anaota, Dogo mkubwa akamwambia mdogo wake "Oya muamshe Bi'mkubwa ampe mzee anachotaka asije kuchoma nyumba moto bure."
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mkuu, umenikumbusha nyingine, jamaa alikua na watoto watano then ana single room, sasa yeye na mkewe walikuawanapeana signal kwa kuwasha kiberiti, kwamba jamaa anavizia watoto walale ndio anawasha kiberiti wife anasogea wanaanza kudambuana.